Mama yangu ndo bethi dei yangu

every single day wen i woke up in ze morning and i'see m'a mom,she iz good n hethi i'thank god to give him another chance to breathi again,tha iz my bethi dei for me
 
mama yangu ndo bethi yangu,bethi dei kwenye maisha yangu..

Hebu tambua kuwa hii ni jamii forum sio facebuk au mitandao mengne ambayo waweza kukurupuka na kuandika chochote nasema hivyo kutokana na jambo uliloandika haliendani na Jukwa husika pia haieleweki.SIO MBAYA LAKINI LABDA WE MGENI HUMU NATUMAINI MUDA SI MREFU UTAENDANA NA MAADA ZETU.asanteh.
 
heri ya kuzaliwa..
wakati mwingine tumia kiswahili .. itakuepushia kumwita mama yako "him"
 
every single day wen i woke up in ze morning and i'see m'a mom,she iz good n hethi i'thank god to give him another chance to breathi again,tha iz my bethi dei for me

unalaumiwa na Afrodenz umetumia neno 'him' hapo juu kwa maza'ko,so next time jipange.
 
heri ya kuzaliwa..
wakati mwingine tumia kiswahili .. itakuepushia kumwita mama yako "him"

Dah, Mkuu Ebu tusaidie tofauti kati ya (his her him) self maana hii inaweza kuwa ni tatizo sugu kwa wengi.
 
Dah, Mkuu Ebu tusaidie tofauti kati ya (his her him) self maana hii inaweza kuwa ni tatizo sugu kwa wengi.

bana inamaana hukumbuki darasa la tatu English ..
"kwa sisi wa miaka hiyo tulianza kufundishwa english darasa la tatu"
his, him nafsi ya kiume..
her nafsi ya kike...
 
I was trying to figure it out

Inabidi tumpe nafasi aweze open up... Kila analo post inakua more contradictory.... sasa tukia assume alikua anamaanisha kitu fulani possibility ya kukosea assumption zetu ni kubwa mno....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom