Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,395
- 92,713
Hii si Tamthilia na wala si swala la rafiki yangu kama ilivyozoeleka jukwaa hili watu huogopa kusema ni wao ndio wahusika. Hili linaihusu Familia yangu halisi.
Kwa sababu mtandao huu unasomwa na watu wengi sitakuwa wazi kwa 100% ili kuficha identificantion, inshort dada zangu wameolewa lakini nikiangalia kwa jicho la ziada nagunduwa kwamba wao ndio wameoa.
Nitafafanuwa, Mama yangu amekuwa ni Dictactor mno wa kuingilia ndoa zao, kiasi kwamba wakiyumba kidogo kimaisha yeye uingilia kati kuwaamishia Dada zangu kwenye baadhi ya nyumba tunazomiliki hapa Dar na kupelekea waume zao kuwa na Inferiority Complex.
Lakini hii ya sasa ndio kali zaidi, mmoja ya Dada zangu yeye amepewa appartment ambayo ipo ndani ya same compound wanayoishi Wazazi wangu na ndio msingi wa Thread hii.
Nimepokea malalamiko kutoka kwa shemeji yangu jinsi anavyonyanyaswa na Dada yangu na thanks God huyu jamaa kwa sasa yupo mkoa katika kuzichanga lakini ameniahidi kwamba hawezi kukanyaga pale nyumba mpaka mke wake ahame na yeye uwezo wa kulipa kodi anao, kama mwanzoni walivyokuwa wamepanga nyumba tofauti.
N;b. Mimi nina maisha yangu na ninakaa kwangu, sijaelewa labda ukwasi huu walionao hawa wazazi wangu ndio unawatia upofu hawa madada au ni kipi hasa?
Labda tu kwa ufupi hapo naomba ushauri maana ninachopanga kukifanya nikiwa kama kiongozi wa Familia kinaweza kuzuwa chuki na nisielewane na mama yangu kwa rest of my life.