Mama yangu anamchukia mke wangu

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu.

Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms za matusi mke wangu.

Najuta kuishi nyumbani na mke wangu
 
Nlihamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu. Tumehamua kuhama tumepanga Bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu.
Mwambie mama yako asifanye hvo.... Angekuwa yeye ndo kaolewa anafanyiwa hivyo angejisikiaje........ Tusipende kuwafanyia watoto wa wenzetu matukio na matendo ya kuumiza hata kama Wana kasoro au hatuwapendi..... Wema ni akiba na ubaya ni akiba
 
Sababu ya kumtukana ni ipi?
Lawama zilizidi kati ya ndugu Kuja kwa wangu, mwisho mke wangu akawa Hana amani. Tukahamua tuhame Sasa mama muda wote anamjazia sms za matusi mke wangu. Najuta kuishi nyumbani na mke wangu
 
Ngoja kwanza kuna story ume ruka .kwanza uku mzalishia nyumbani kweli uyo ndo uka pewa wakati uja jipanga
 
Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana...
Graduate. Huo uandishi ni kwasababu ya mihemuko
 
Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana...
Yeye ameshahamua kuhandika hivyo na ataendelea tu kuhandika hivyo

Mkuu guess what, kama muandishi anajihisi ana kigugumizi sasa hata kuandika anahisi anaongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom