Mama yangu alifanya kazi ya ualimu kwa miaka zaidi ya 30 kabla ya kufukuzwa kwa kuwa na cheti fake

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Mama yangu alifanya kazi ya ualimu kwa miaka zaidi ya 30 kabla ya kufukuzwa kwa kuwa na cheti fake. Najiuliza Serikali hii ya CCM ikamuajiri na Serikali hii ya CCM ikamfukuza, mama alitufundisha na tukafaulu kwenda sekondari, hakupewa kiinua mgongo kwa muda aliofanyia kazi.

Katika maisha yangu yote siwezi kuisahau Serikali ya awamu hii. Imekuwa haina huruma kabisa. Nimemwambia mama tusiipigie kura CCM tuwapigie wapinzani hata wasiposhinda.
 
119057614_197973511683765_7178176507246786920_n.jpg
 
Lipeni kisa
Mama yangu alifanya kazi ya ualimu kwa miaka zaidi ya 30 kabla ya kufukuzwa kwa kuwa na cheti fake.Najiuliza Serikali hii ya CCM ikamuajiri na Serikali hii ya CCM ikamfukuza,mama alitufundisha na tukafaulu kwenda sekondari,hakupewa kiinua mgongo kwa muda aliofanyia kazi.Katika maisha yangu yote siwezi kuisahau Serikali ya awamu hii.Imekuwa haina huruma kabisa.Nimemwambia mama tusiipigie kula CCM tuwapigie wapinzani hata wasiposhinda
Lipeni kisasi October,
Nilishapiga marufuku familia yangu Ni kosa la jinai sawa na uhujumu uchumi la kutengwa kabisa yaani ukiipigia kura ccm October upotelee huko huko.Nawapa na mfano kabisa dhiki zote hizi chanzo ni ccm
 
Tukifuata sheria ambayo ni msumeno, utagundua kuwa alikuwa na kosa la kufoji nyaraka za elimu kosa ambalo kisheria adhabu yake ni pamoja na kifungo.

Ila ukiona hadi ameachiwa hiyo inamaana wamegawana uwajibikaji na serikali.

Serikali imemuachia kwa ile aibu ya kuwa ametumikia taifa siku zote hizo na yeye hana hiyo nafasi au uhalali wa kuidai chochote serikali sababu kwa mujibu wa sheria na kanuni za jamuhuri ya muungano wa tanzania, yeye ni mtenda jinai.
 
Kuna mama alipigwa mbili bila alikuwa umwaambii kitu kuhusu jamaa tukimwambia sio anaishia kutuambia mtaisoma namba,ajakaa sawa akachezea vyeti ajatulia kachezea bomoa bomoa kimara hayupo sawa this day Sasa yeye na sisi Nani ameisoma namba.
 
Tukifuata sheria ambayo ni msumeno, utagundua kuwa alikuwa na kosa la kufoji nyaraka za elimu kosa ambalo kisheria adhabu yake ni pamoja na kifungo.

Ila ukiona hadi ameachiwa hiyo inamaana wamegawana uwajibikaji na serikali.

Serikali imemuachia kwa ile aibu ya kuwa ametumikia taifa siku zote hizo na yeye hana hiyo nafasi au uhalali wa kuidai chochote serikali sababu kwa mujibu wa sheria na kanuni za jamuhuri ya muungano wa tanzania, yeye ni mtenda jinai.
Mbona dabo standard kwa ajili bashite ajaguswa,majeshini awajagusa kabisa je kuna sheria mbili ndani ya nchi moja
 
Tukifuata sheria ambayo ni msumeno, utagundua kuwa alikuwa na kosa la kufoji nyaraka za elimu kosa ambalo kisheria adhabu yake ni pamoja na kifungo.

Ila ukiona hadi ameachiwa hiyo inamaana wamegawana uwajibikaji na serikali.

Serikali imemuachia kwa ile aibu ya kuwa ametumikia taifa siku zote hizo na yeye hana hiyo nafasi au uhalali wa kuidai chochote serikali sababu kwa mujibu wa sheria na kanuni za jamuhuri ya muungano wa tanzania, yeye ni mtenda jinai.

Hakupaswa kufanya kazi for 30 years wakati wangeweza gundua the 1st year of employement
 
Ingelikuwa kwenye nchi za wengine, wote wenye vyeti feki, wangelipigwa ndani Kwanza, Kwa sababu huo ni uvunjaji wa Sheria, ni wizi kama wizi mwingine

Hapa Sisi ni Taifa la kulialia hata mahali ambapo Sheria zimevunjwa eti ziwepo huruma tu.
Sasa mwenye kosa ni yupi aliwaajiri pasipo cheti, halafu magufuli ana double standard Hamna polisi wala mwajeshi hata 1 aliyefukuzwa kwa cheti feki au wao sio wajiriwa wa umma?
 
Back
Top Bottom