MAMA YAKE WEMA SEPETU: Tabia mbovu mbovu za wema wenye makosa ni rafiki zake

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Mama yake Wema anaongea kwenye take one ya Clouds FM, ametishia watu wanaoandika habari mbofu mbofu kuhusu wema atahangaika nae mahakani, kasema wema ni mtoto mzuri sana lakini waandishi wamekua wakiandika kuhusu wema kwa sababu magazeti wanafanya biashara kwa kumuandika wema.

kamponda diamond kwamba amemfanyia mambo mbofumbofu wema, kamponda mtu anaitwa shakur kwamba ni mnafiki sana.

amesema watu wanamtumia wema ili kupanda (chati) amewaambia watapanda na watashuka lakini wema atabaki juu.

MyTake:

Wema na mama akili yao moja!
 
sio tu akilizi zao ni moja, wote wawili ni majuha!!!!
At tymz i used to wonder if Wema amelaaniwa, ama ni chizi or what. Maana hata ka ni kupenda misifa, u selebritiii, kuandikwa andikwa n tajwa tajwa but dis is too much....! Such a wasted kid
 
jamani Wema ni binadamu tu she needs respect as any other person so far ni binti mwenye mvuto sana na nampenda kuwa hayuko emotional manake kwa jinsi anavyoandikwa angekuwa mtu wa hasira sijui ingekuwaje. hebu wamuache aendelee na maisha yake jamani? mbona wao hatuwasemi?
 
Mama akampime mwanae akili pengine amewehuka, kama sio ampeleke kwa wataalamu wa saikolojia waweze kumpa ushauri. Binadamu gani kila baya ni la kwako?
 
kuandikwa kunasababisha na mambo yake...mbona wengine hawaandikwi andikwi kama yeye...vituko vimezidi!
 
Aisee baada ya kuona mahojiano hayo ya Mama Si-Wema. Nadhani binti ana afadhali kushinda Mama. Tunaweza kumlaumu huyu binti,kumbe haya yote yametokana na malezi aliyopata tokea utotoni kwake. Kwa kisaikolojia zaidi ukiangalia Body language ya Mama Si-Wema na mengineyo,unapata picha sahihi Si-Wema amelelewa kwenye mazingira gani. Namuonea huruma sana huyu binti. :sad::sad:
 
Publicity at work bila scandals watu mtamsahau bure so muacheni azitengeneze ili aendele kuuza kazi zake
 
jamani Wema ni binadamu tu she needs respect as any other person so far ni binti mwenye mvuto sana na nampenda kuwa hayuko emotional manake kwa jinsi anavyoandikwa angekuwa mtu wa hasira sijui ingekuwaje. hebu wamuache aendelee na maisha yake jamani? mbona wao hatuwasemi?

yeye hupenda kuandikwa iwe vbaya au vzuri just 4 popularity gain!
 
Aisee baada ya kuona
mahojiano hayo ya Mama Si-Wema. Nadhani binti ana afadhali kushinda
Mama. Tunaweza kumlaumu huyu binti,kumbe haya yote yametokana na malezi
aliyopata tokea utotoni kwake. Kwa kisaikolojia zaidi ukiangalia Body
language ya Mama Si-Wema na mengineyo,unapata picha sahihi Si-Wema
amelelewa kwenye mazingira gani. Namuonea huruma sana huyu binti.
:sad::sad:

Bint anafata nyayo tu sema vya kurithi vinazidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom