Mama yake Dogo Janja afunguka: Irene Uwoya alitambulishwa kwangu mwaka jana, ni kweli ameolewa na mwanangu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,746
Mama yake Dogo Janja Zaituni Omary amepigiwa simu na DJ Hazuu na kufunguka kuhusu sintofahamukuwa mwanawe kaoa kweli ama vipi

Mama huyo amesema nin kweli mwanawe ameoa na alitambulishwa kwa mkwewake huyo tangia mwaka jana na wanawasiliana sasa na leo asubuhi ameongea nao kuwajulia hali

alipoulizwa juu ya umri waokutofautiana sana amsema haoni kama hilo ni tatizo na juu ya sherehe amasema imepangwa na itafanyika baada ya muda

 
Kila la kheri.
Sijui ataweza mwambia kitu uwoya amsikie kama mume kweli maana najiuliza hata kama irene atakuwa ana feel kwamba kweli ana mume ndani.
Ila mwanaume mashine mengine mbwembwe japo pesa zinaifanya kama ilikuwa mashine ya mwingereza inageuka kuwa na nguvu za kigermany
 
Abadilishiwe jina na kuitwa kubwa jinga......
irine%252Buwoya.JPG
uwoya342.jpg
IRENE-UWOYA677.jpg
 
Back
Top Bottom