Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,775
- 18,736
Mama yake Dogo Janja Zaituni Omary amepigiwa simu na DJ Hazuu na kufunguka kuhusu sintofahamukuwa mwanawe kaoa kweli ama vipi
Mama huyo amesema nin kweli mwanawe ameoa na alitambulishwa kwa mkwewake huyo tangia mwaka jana na wanawasiliana sasa na leo asubuhi ameongea nao kuwajulia hali
alipoulizwa juu ya umri waokutofautiana sana amsema haoni kama hilo ni tatizo na juu ya sherehe amasema imepangwa na itafanyika baada ya muda