kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,638
- 14,779
Hii habari ilipaswa leo iwe ni habari kubwa kidogo!
Katika harakati za kuendelea kwenye ukombozi, Jana tumeshuhudia watu wawili
Muhimu sana katika familia za CCM wakijiunga na Chadema.
Aliyekuwa DC wa Mbozi Bwana Kimolo na Mama Rachel Wassira!
Ndio waliyofanya maamuzi sahii siku ya jana kwa kuamua kuvua magamba na kuvaa magwanda.
Wakati Mama Wassira anajiunga na Chadema jana alisema hiki chama kina MUNGU!! Na hana sababu inayomfanya aendelee kuwa CCM.
Hongera sana Mama Wassira, na kwa kupitia wewe Tunaamini Mzee George Wassira atakuja huku pia..
Hongera Pia Mzee Kimolo.