Mama wa Waziri wa Fedha wa UK, Rish Sunak ana asili ya Tanzania

Sera za Nyerere na Idi Amin za kuwakimbiza wenye asili ya Asia, zimenufaisha sana nchi za UK, Canada na US. Waliohamia hizo nchi, wengi wameziletea maendeleo na wenyewe wamefanikiwa sana. Sisi tulibaki kupiga miayo ya njaa tuu.
Yes, wadosi wengi walionda mamtoni kipindi hicho wametoboa
 
Sera za Nyerere na Idi Amin za kuwakimbiza wenye asili ya Asia, zimenufaisha sana nchi za UK, Canada na US. Waliohamia hizo nchi, wengi wameziletea maendeleo na wenyewe wamefanikiwa sana. Sisi tulibaki kupiga miayo ya njaa tuu.
Kwa hiyo nchi zilizowahi kuwa na Wahindi Africa ni Tanzania na Uganda tu?, tutajie Nchi za Kiafrica zilizonufaika kwa uwepo wao kwa wingi mpaka sasa.

Kwamba hawa waliobaki tumetangamana nao sana na manufaa ni makubwa....sijui wewe upo Tanzania ipi maana ninachokiona mimi wengi wao ni Mabosi na sisi ni Watumishi....hivyo kwa maoni yako ulitamani tuwe na mabosi milioni moja wa Kiasia ili sisi Wamatumbi wengi ndio tupate ajira kama 'ma House Boys na ma House Girls'?...kwa nini isiwe vice versa...au sisi ngozi nyeusi hatuwezi hayo?.

Kwa hiyo kwa imani yako ni kuwa sisi Wamatumbi ni wa kusimamiwa tu na si kusimamia? je wewe unaweza kwenda na kutamba hivyo kule India au Bangladesh?.

Alafu unalinganisha Wahindi na Wazungu? kule wameenda kwa 'Viboko' wao sasa huku ni nani alikuwa/atakuwa kiboko ya Mwingine?.

Hivi Muhindi kupata Wadhfa Ulaya na kupata Wadhfa Africa ipi ni credit?...Wenzake wote watamuona huyo wa Ulaya ndio shujaa.

Sijui kuhusu Uganda lakini kilichowakimbiza huku ni baada ya Wenye nchi kutaka tuwe sawa kupitia Azimio La Arusha...waliokimbia maana yake ni kwamba hawakuwa tayari na hilo.

Walikuwa na Shule zao, Hospitali zao, Mitaa yao, Maduka na Masoko yao n.k....miaka hamsini baadae ulitamani tukae tu pembeni na kuyashabikia hayo na bado tujiite Nchi huru?...hivi hao walikuwa sehemu ya sisi Wamatumbi au Wakoloni (wazungu)?. walikuwa wanamsikiliza na kumtii Mzungu au Mswahili?.

Kwa akili zako unaamini kwamba Muhindi atakuwa tayari kusimamiwa au kuwa chini ya Mmatumbi?...kwamba muwaachie wamiliki njia zote kuu za uchumi na bado mjione mpo salama?.

Inasikitisha kuona bado kuna Watu wala hatujui maana na sababu za kutafuta uhuru.

Fanya kazi kwa bidii uisaidie Nchi yako acha kuwaza watu wengine ndio waje kukujengea Nchi yako wewe ubaki tu kama Mtazamaji.
 
Mwanasiasa machachari na waziri wa fedha wa Sasa wa UK Rish Sunak amezaliwa na kukulia Tanzania kwa mujibu wa CV ya waziri huyo mwenye makeke .

Rish Sunak ambaye Leo amepigwa fine sambamba na waziri mkuu Boris Johnson ya kufanya sherehe kipindi cha lockdown ya coronavirus wazazi wake wote wamezaliwa afrika mshariki babake alitokea Kenya na mama yake Tanzania .

Mama yake Suki aliondoka Tanzania kipindi cha timua timua ya wahindi miaka 1967 ya azimio la Arusha la mzee Nyerere na kamati kuu ya CCM .

USSR View attachment 2185450View attachment 2185451
Nyerere hakutimua Waasia bali alichukua tu majengo yao na akawaruhusu waendelee kukaa hadi leo kwa kulipa kidogo
 
Bila zile sera utumwa na utwana ungeendelea kuwepo. Hivi maskini na tajiri wanagawanaje resources? Mwenye ardhi na asiye na ardhi wanaweza kukaa meza moja wakaongea?
Nyerere was not a fool. Huko Ulaya waliondoa ubwanyenye ili kutengeneza mazingira sawa.
Sera hizo ziliishia kuipeleka wapi Tanzania zaidi ya njaa Kali na umasikini wa kutupwa?
Hao wahindi walikuwa wafanyabishara, Wala wazawa hawakunyimwa ardhi, dawa ilikuwa kuwatoza Kodi ambayo ingetumika kuondoa umasikini
 
Kwa hiyo nchi zilizowahi kuwa na Wahindi Africa ni Tanzania na Uganda tu?, tutajie Nchi za Kiafrica zilizonufaika kwa uwepo wao kwa wingi mpaka sasa.

Kwamba hawa waliobaki tumetangamana nao sana na manufaa ni makubwa....sijui wewe upo Tanzania ipi maana ninachokiona mimi wengi wao ni Mabosi na sisi ni Watumishi....hivyo kwa maoni yako ulitamani tuwe na mabosi milioni moja wa Kiasia ili sisi Wamatumbi wengi ndio tupate ajira kama 'ma House Boys na ma House Girls'?...kwa nini isiwe vice versa...au sisi ngozi nyeusi hatuwezi hayo?.

Kwa hiyo kwa imani yako ni kuwa sisi Wamatumbi ni wa kusimamiwa tu na si kusimamia? je wewe unaweza kwenda na kutamba hivyo kule India au Bangladesh?.

Alafu unalinganisha Wahindi na Wazungu? kule wameenda kwa 'Viboko' wao sasa huku ni nani alikuwa/atakuwa kiboko ya Mwingine?.

Hivi Muhindi kupata Wadhfa Ulaya na kupata Wadhfa Africa ipi ni credit?...Wenzake wote watamuona huyo wa Ulaya ndio shujaa.

Sijui kuhusu Uganda lakini kilichowakimbiza huku ni baada ya Wenye nchi kutaka tuwe sawa kupitia Azimio La Arusha...waliokimbia maana yake ni kwamba hawakuwa tayari na hilo.

Walikuwa na Shule zao, Hospitali zao, Mitaa yao, Maduka na Masoko yao n.k....miaka hamsini baadae ulitamani tukae tu pembeni na kuyashabikia hayo na bado tujiite Nchi huru?...hivi hao walikuwa sehemu ya sisi Wamatumbi au Wakoloni (wazungu)?. walikuwa wanamsikiliza na kumtii Mzungu au Mswahili?.

Kwa akili zako unaamini kwamba Muhindi atakuwa tayari kusimamiwa au kuwa chini ya Mmatumbi?...kwamba muwaachie wamiliki njia zote kuu za uchumi na bado mjione mpo salama?.

Inasikitisha kuona bado kuna Watu wala hatujui maana na sababu za kutafuta uhuru.

Fanya kazi kwa bidii uisaidie Nchi yako acha kuwaza watu wengine ndio waje kukujengea Nchi yako wewe ubaki tu kama Mtazamaji.
Mkuu Africa kusini ina walowezi wengi wa kihindi na kizungu na ndio injini ya uchumi wa Ile nchi
Wabongo, wa Nigeria, wake ya, waethiopia, Somali n.k wote kila siku wanahamia Africa Kusini kutafuta maisha Bora sababu ya uchumi kuwa mzuri

Wangefukuzwa na Mali zao kutaifisha, leo Africa Kusini ingekuwa masikini kuliko hata Tz

Hivi viwanda vichache vya madawa, vifaa, na vyakula vilivyopo Tz vyote vinaendeshwa na wahindi, Nani kazuia watanzania kumiliki viwanda na wao?

Baada ya kuwatimua Leo hii tunahaha kuvutia wawekezaji ambao ndio hao hao
 
Hao WaAsia walihamia UK, Canada, na US na kufanya biashara kama walivyokuwa wanafanya Tanzania na Uganda. Watoto wamewasomesha Oxford, Cambridge, Harvard na ndiyo sasa wananufaisha hayo mataifa. Nyerere na Idi Amin walifanya makosa na ndiyo maana Kikwete alifunga safari kwenda Ulaya na Canada kuwaomba warudi. Na Museveni alienda UK kuwaomba WaAsia warudi. Tukubali tuu tulikosea na tumezisaidia nchi za UK, Canada, na US kwa maendeleo.

Always wahamiaji ndio huleta maendeleo kwenye nchi walizohamia
Ndio maana kila nchi utakuta wakuja ndio wameshika uchumi wa nchi

Hata mama ntilie akienda kufungua mapishi yetu nchi jirani watapenda na ataendelea haraka zaidi na kukua kibiashara kuliko kukaa mtaani kwetu

Kuna hao wahindi wa kuja mama mmoja alianza miaka hiyo kutengeneza curry, pilau na sambusa na bajia akiwa kwake
Leo familia ni millionaires wana supply supermarkets zote
Kwa hiyo Sisi kutwa kukamata wahabeshi na kuwaibia hela zao na kuwafunga

Tumejifungia kwenye bubbles na kila mmoja tunamsema ooh muhindi mara msomali mara mwarabu
Ubaguzi umetujaa
 
Kwa hiyo nchi zilizowahi kuwa na Wahindi Africa ni Tanzania na Uganda tu?, tutajie Nchi za Kiafrica zilizonufaika kwa uwepo wao kwa wingi mpaka sasa.

Kwamba hawa waliobaki tumetangamana nao sana na manufaa ni makubwa....sijui wewe upo Tanzania ipi maana ninachokiona mimi wengi wao ni Mabosi na sisi ni Watumishi....hivyo kwa maoni yako ulitamani tuwe na mabosi milioni moja wa Kiasia ili sisi Wamatumbi wengi ndio tupate ajira kama 'ma House Boys na ma House Girls'?...kwa nini isiwe vice versa...au sisi ngozi nyeusi hatuwezi hayo?.

Kwa hiyo kwa imani yako ni kuwa sisi Wamatumbi ni wa kusimamiwa tu na si kusimamia? je wewe unaweza kwenda na kutamba hivyo kule India au Bangladesh?.

Alafu unalinganisha Wahindi na Wazungu? kule wameenda kwa 'Viboko' wao sasa huku ni nani alikuwa/atakuwa kiboko ya Mwingine?.

Hivi Muhindi kupata Wadhfa Ulaya na kupata Wadhfa Africa ipi ni credit?...Wenzake wote watamuona huyo wa Ulaya ndio shujaa.

Sijui kuhusu Uganda lakini kilichowakimbiza huku ni baada ya Wenye nchi kutaka tuwe sawa kupitia Azimio La Arusha...waliokimbia maana yake ni kwamba hawakuwa tayari na hilo.

Walikuwa na Shule zao, Hospitali zao, Mitaa yao, Maduka na Masoko yao n.k....miaka hamsini baadae ulitamani tukae tu pembeni na kuyashabikia hayo na bado tujiite Nchi huru?...hivi hao walikuwa sehemu ya sisi Wamatumbi au Wakoloni (wazungu)?. walikuwa wanamsikiliza na kumtii Mzungu au Mswahili?.

Kwa akili zako unaamini kwamba Muhindi atakuwa tayari kusimamiwa au kuwa chini ya Mmatumbi?...kwamba muwaachie wamiliki njia zote kuu za uchumi na bado mjione mpo salama?.

Inasikitisha kuona bado kuna Watu wala hatujui maana na sababu za kutafuta uhuru.

Fanya kazi kwa bidii uisaidie Nchi yako acha kuwaza watu wengine ndio waje kukujengea Nchi yako wewe ubaki tu kama Mtazamaji.
South Africa ina WaAsia wengi walionufaisha nchi yao.

Ngoja kwanza nikuulize, kwani hizo biashara, shule, maduka yao waliwaibia wamatumbi au WaAsia wenyewe walifanya kazi kwa bidii na maarifa wakatapa hizo mali? Wengi walikuja hapa masikini, wakatumia fursa zilizopo wakapata hela. Unaona usawa mali zao kuporwa ili upewe wewe kwa sababu wewe mmatumbi, huo nao si ubaguzi?

Tatizo ninaloliona kwako ni kutoelewa uchumi unaendeshwaje. Na Nyerere naye hakuelewa uchumi unaendeshwaje. Unapofukuza wachangiaji wakubwa kwenye kipato cha taifa, uchumi lazima utaporomoka. Na ukisema upore biashara za watu wanaojua kuziendesha halafu uzigawe kwa watu ambao hawana uzoefu na maarifa ya kuziendesha utaziua. Ndiyo maana biashara, viwanda, kampuni zilizotaifishwa wakati wa Azimio la Arusha karibu zote zimekufa.

Nashindwa kuamini mpaka leo kuna watu wanatetea Azimio la Arusha na sera za Ujamaa zilizofilisi nchi hii. Labda ni wale waliozaliwa miaka ya 1990s na kuendelea ambao waliishi nchi inayofuata sera za IMF na World Bank kwenye uchumi.
 
Mkuu Africa kusini ina walowezi wengi wa kihindi na kizungu na ndio injini ya uchumi wa Ile nchi
Wabongo, wa Nigeria, wake ya, waethiopia, Somali n.k wote kila siku wanahamia Africa Kusini kutafuta maisha Bora sababu ya uchumi kuwa mzuri

Wangefukuzwa na Mali zao kutaifisha, leo Africa Kusini ingekuwa masikini kuliko hata Tz

Hivi viwanda vichache vya madawa, vifaa, na vyakula vilivyopo Tz vyote vinaendeshwa na wahindi, Nani kazuia watanzania kumiliki viwanda na wao?

Baada ya kuwatimua Leo hii tunahaha kuvutia wawekezaji ambao ndio hao hao
Hivi mnaiona Afrika ya Kusini ipo sawa mpaka wa leo?.

Afrika ya Kusini ni kama Jehanam kwa jinsi kulivyo na uhalifu tena wa Kibaguzi.

Waafrika wanawabagua Waafrika wenzao wakiamini kuwa ndio Waosababisha wao(Wazawa) wanakosa ajira.

Waafrika weusi wengi ni Masikini wa kutupwa..Afrika Kusini ni bomu linalotaka kulipuka wakati wowote.

Huenda ndio ni Nchi Tajiri lakini utajiri wa kundi moja...hilo ndo mlitamani mlione hapa Tanzania?.
 
Mwalimu aliona mbali tofauti na akili zenu hizi.
 
Kuna waafrika kibao wanaenda na wanatoboa..mzee nchi yenye wahamiaji wengi wa Kiafrika ni Afrika kusini, sababu ya maisha bora
 
Kwa hiyo nchi zilizowahi kuwa na Wahindi Africa ni Tanzania na Uganda tu?, tutajie Nchi za Kiafrica zilizonufaika kwa uwepo wao kwa wingi mpaka sasa.

Kwamba hawa waliobaki tumetangamana nao sana na manufaa ni makubwa....sijui wewe upo Tanzania ipi maana ninachokiona mimi wengi wao ni Mabosi na sisi ni Watumishi....hivyo kwa maoni yako ulitamani tuwe na mabosi milioni moja wa Kiasia ili sisi Wamatumbi wengi ndio tupate ajira kama 'ma House Boys na ma House Girls'?...kwa nini isiwe vice versa...au sisi ngozi nyeusi hatuwezi hayo?.

Kwa hiyo kwa imani yako ni kuwa sisi Wamatumbi ni wa kusimamiwa tu na si kusimamia? je wewe unaweza kwenda na kutamba hivyo kule India au Bangladesh?.

Alafu unalinganisha Wahindi na Wazungu? kule wameenda kwa 'Viboko' wao sasa huku ni nani alikuwa/atakuwa kiboko ya Mwingine?.

Hivi Muhindi kupata Wadhfa Ulaya na kupata Wadhfa Africa ipi ni credit?...Wenzake wote watamuona huyo wa Ulaya ndio shujaa.

Sijui kuhusu Uganda lakini kilichowakimbiza huku ni baada ya Wenye nchi kutaka tuwe sawa kupitia Azimio La Arusha...waliokimbia maana yake ni kwamba hawakuwa tayari na hilo.

Walikuwa na Shule zao, Hospitali zao, Mitaa yao, Maduka na Masoko yao n.k....miaka hamsini baadae ulitamani tukae tu pembeni na kuyashabikia hayo na bado tujiite Nchi huru?...hivi hao walikuwa sehemu ya sisi Wamatumbi au Wakoloni (wazungu)?. walikuwa wanamsikiliza na kumtii Mzungu au Mswahili?.

Kwa akili zako unaamini kwamba Muhindi atakuwa tayari kusimamiwa au kuwa chini ya Mmatumbi?...kwamba muwaachie wamiliki njia zote kuu za uchumi na bado mjione mpo salama?.

Inasikitisha kuona bado kuna Watu wala hatujui maana na sababu za kutafuta uhuru.

Fanya kazi kwa bidii uisaidie Nchi yako acha kuwaza watu wengine ndio waje kukujengea Nchi yako wewe ubaki tu kama Mtazamaji.
Kwendraa huko na maneno yako. Hapo ulipo unachangia kodi kiasi gani kwa nchi? Hawa unaowabagua ndio hulipa kodi za mabilioni ili wewe upate mshahara na dawa, halafu unatujia na gazeti la maneno lukuki hapa.
 
Kwa hiyo nchi zilizowahi kuwa na Wahindi Africa ni Tanzania na Uganda tu?, tutajie Nchi za Kiafrica zilizonufaika kwa uwepo wao kwa wingi mpaka sasa.

Kwamba hawa waliobaki tumetangamana nao sana na manufaa ni makubwa....sijui wewe upo Tanzania ipi maana ninachokiona mimi wengi wao ni Mabosi na sisi ni Watumishi....hivyo kwa maoni yako ulitamani tuwe na mabosi milioni moja wa Kiasia ili sisi Wamatumbi wengi ndio tupate ajira kama 'ma House Boys na ma House Girls'?...kwa nini isiwe vice versa...au sisi ngozi nyeusi hatuwezi hayo?.

Kwa hiyo kwa imani yako ni kuwa sisi Wamatumbi ni wa kusimamiwa tu na si kusimamia? je wewe unaweza kwenda na kutamba hivyo kule India au Bangladesh?.

Alafu unalinganisha Wahindi na Wazungu? kule wameenda kwa 'Viboko' wao sasa huku ni nani alikuwa/atakuwa kiboko ya Mwingine?.

Hivi Muhindi kupata Wadhfa Ulaya na kupata Wadhfa Africa ipi ni credit?...Wenzake wote watamuona huyo wa Ulaya ndio shujaa.

Sijui kuhusu Uganda lakini kilichowakimbiza huku ni baada ya Wenye nchi kutaka tuwe sawa kupitia Azimio La Arusha...waliokimbia maana yake ni kwamba hawakuwa tayari na hilo.

Walikuwa na Shule zao, Hospitali zao, Mitaa yao, Maduka na Masoko yao n.k....miaka hamsini baadae ulitamani tukae tu pembeni na kuyashabikia hayo na bado tujiite Nchi huru?...hivi hao walikuwa sehemu ya sisi Wamatumbi au Wakoloni (wazungu)?. walikuwa wanamsikiliza na kumtii Mzungu au Mswahili?.

Kwa akili zako unaamini kwamba Muhindi atakuwa tayari kusimamiwa au kuwa chini ya Mmatumbi?...kwamba muwaachie wamiliki njia zote kuu za uchumi na bado mjione mpo salama?.

Inasikitisha kuona bado kuna Watu wala hatujui maana na sababu za kutafuta uhuru.

Fanya kazi kwa bidii uisaidie Nchi yako acha kuwaza watu wengine ndio waje kukujengea Nchi yako wewe ubaki tu kama Mtazamaji.
Wanafanya kazi Mohammed enterprises LTD wanakutazama tu
 
Back
Top Bottom