Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Mama anaitwa Irene Mzava, alihamishwa kutoka TRA Temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho.

Baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getini na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.

View attachment 2063586
Wale wanasema ndoa ni pesa basi wazidi kusomaa hii hali nadhani vifo vimefuwatana
 
Mauaji ya kikatili yanazidi, sijui dunia tunaelekea wapi
 
Sijawahi kumfia mwanamke kiasi cha kufanya maajabu kama hayo. Mimi mke wangu nilimwambia kabisa. Hata nikimkuta analiwa ndani kwangu,nitawaacha wamalize kabisa. Baada ya hapo anajua tu atakuwa amejisafishia tu njia ya kuondoka. Siwezi kufanya zaidi ya hapo
 
Nilikuwaga na demu nilikuwa nampenda sanaa ,siku kaliwa na nikajua na akakili nilipata hasira sanaa ya kuua mtu, baada ya kuishinda ile hasira mpaka Leo nilijisemea haitakuja tokea niwe na mwanamke mmoja mpaka siku naenda kaburini .

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Duh,ingeku cost sana mkuu

Si unaona sahvi maisha yanaendelea tu

Ova
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

Ni Mara mia, Kuzalisha uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tuliyonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

Achana na minyama minyama hiyo ,mihips, mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama, mihips.
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom