Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

Mndengestani,

Alikuandikia sma akauliza umelala na ukajibu ndiyo,na nani ukajibu peke yako,akaguna mhhhhh ukajifanya hujamsikia network inasumbua!unatufanya watoto!?kakuandikia SMS Mara tena ukajifanya hujamsikia!!msj zinasikika!?
 
Nakuuliza, Je, huyo jamaa yako umekula naye amini?? Tambua kuwa mlikutana tu njiani ila hukujua ka mamake angekuja kukutamani. Jambo la kufanya ni kuwa; Muite huyo mama, sema naye na umwambie ajitambue tu kuwa yeye ni mke wa mtu na mke wa mtu ni sumu. Sasa, kama kweli anajua kuwa weye ni rafiki wa mwanaye, basi weye ni rafiki wa nyumba yake yaani pamoja na mumewe. Hivyo kufanya naye tendo hilo ni unafiki mkubwa.

Mwambie kuwa, hujisikii kumkashifu rafiki yako kwani hajui mlianzia wapi. Akiendelea kukusumbua itabidi umwambie rafiki yako. Tena mtishie kuwa uliwahi kumchukua video na sauti yake unayo kuonesha anavyokusumbua usiku.
Mwambie umeificha mbali kwenye sm nyingine utakayo itoa siku hiyo mbele za rafiki yako. Nadhani ataogopa. Vinginevyo, kama anakuvutia onja tu asali
 
Akikupigia mwambie upo na mkwe utampigia halafu kata, sms usijibu. Akipiga pokea mwambie Nipo na mkwe ntakupigia mama, Akipiga pokea mwambie mama shikamoo, naomba ntakurudia naona mkweo kanibana hapa halafu kata' siku nyingine tafuta mtoto wa kike Akipiga pokea mpe aongee amwambie yupo bafuni atakurudia. We chukulia kama mchezo yeye Atachoka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom