Mama wa mtalaka wangu acharuka sasa amgeukia mkwewe!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na bintiye!kuanzia alipojua kila siku ananipa vitisho kwenye sim kwamba kwanini nimemucha mwanaye! Je nimwambieje huyu mama!
 
yaani huyo mama wa mchumba wangu ananisakama eti kwann nimetengana na bintiye
 
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na bintiye!kuanzia alipojua kila siku ananipa vitisho kwenye sim kwamba kwanini nimemucha mwanaye! Je nimwambieje huyu mama!

Huyo mama atakuwa anakutaka wewe ungea nae kiutu uzima tu
 
Kipato chako ni kiasi gani? zimekutembelea? maana mjini hapa ukiona unang'ang'aniwa mpaka na ma mkwe ujue si bure iko namna,isije ikawa kila jumamosi bwamzee labda ulikuwa ukipeleka vikapu kwa ma mkwe toka kariakoo na sasa vimekatika ghafla hahahahahaha!!!!!
 
<br /> <br / /br/ mama mwenyewe ameshachoka nimpeleke wapi! Kwanza ujana wake alikula na nani mpaka anitake mimi rika la mtoto wake?
 
Kipato chako ni kiasi gani? zimekutembelea? maana mjini hapa ukiona unang'ang'aniwa mpaka na ma mkwe ujue si bure iko namna,isije ikawa kila jumamosi bwamzee labda ulikuwa ukipeleka vikapu kwa ma mkwe toka kariakoo na sasa vimekatika ghafla hahahahahaha!!!!!
<br /> <br / /br/hali yangu kifedha ni ya kawaida tu!na sijawah kupeleka vi2 kwao hata siku moja and i wil never do!
 
Inawezekana umempotezea muda na umeharibu malengo ya binti yake. Kama mzazi lazima aumie kwa ulivyomtenda mwanaye. Pia inawezekana ulikufanyika msaada mkubwa nyumbani kwao, sasa umeingia mitini na kuwakosesha huduma walizokuwa wakipata toka kwako. Ingekuwa vema ukaiweka vizuri habari hii tujue ilikuwaje kuwaje?
 
Back
Top Bottom