Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na bintiye!kuanzia alipojua kila siku ananipa vitisho kwenye sim kwamba kwanini nimemucha mwanaye! Je nimwambieje huyu mama!