Mama wa kizimbabwe aliyetembea umbali mrefu kusaidia waathirika alamba zali

kishumbaz

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
912
1,252
mama wa kizimbabwe aliyetembea umbali mrefu kwenda kutoa msaada wa chakula kwa waathirika wa tetemeko Zimbabwe, kalamba zali ya kujengewa nyumba ya kisasa na billionaire maarufu nchini Zimbabwe.
Screenshot_2019-03-26-18-17-25.jpeg
IMG_20190326_181705.jpeg
IMG_20190326_181714.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo tajiri badala ya kuwasaidia wale recepient anaenda kumsaidia donor mwenzake?

Mpaka amezawadiwa huyo mama na huyo tajiri,ujue wazi kwamba waathirika wamezawadiwa mara mbili yake na huyo huyo tajiri.
Mama kajitolea kwa moyo mmoja na mola kamjaalia nae kapata.
Tatizo sisi uhasidi wa roho unatusumbua,ukimwona mwenzio kapata wewe unaumia
Haya panda juu ukaizibe‍♂️
 
Mpaka amezawadiwa huyo mama na huyo tajiri,ujue wazi kwamba waathirika wamezawadiwa mara mbili yake na huyo huyo tajiri.
Mama kajitolea kwa moyo mmoja na mola kamjaalia nae kapata.
Tatizo sisi uhasidi wa roho unatusumbua,ukimwona mwenzio kapata wewe unaumia
Haya panda juu ukaizibe
Hahaahaha apande wapi?
Kuna watu wanaumia kukuona unatembea sembuse upewe na nyumba?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mpaka amezawadiwa huyo mama na huyo tajiri,ujue wazi kwamba waathirika wamezawadiwa mara mbili yake na huyo huyo tajiri.
Mama kajitolea kwa moyo mmoja na mola kamjaalia nae kapata.
Tatizo sisi uhasidi wa roho unatusumbua,ukimwona mwenzio kapata wewe unaumia
Haya panda juu ukaizibe
Na usikute ametoa zaid 50% ya alichonacho wakati yeye anachopokea hakifiki haya 0.0000000000000001% ya uwezo wa huyo aliemsaidia yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom