Mama wa Kihaya "ahodhi" nia ya mto

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Huwa siiachi kamera yangu popote ninapo kwenda.
Ni ajabu na kweli lakini mama mmoja wa kihaya huko Mbezi Jogoo ameamua kuhodhi njia mto kwa madai kuwa ni eneo lake na aliuziwa.
Ni vigumu kuelewa mantiki ya mama huyo kwani majirani walio karibu na eneo hilo wamemlalamikia vikali kuhusu uamuzi wake huo, kwa vile wakati wa mvua ni kawaida kupata mafuriko yanayopita kwa wingi juu ya daraja.
Lakini mama huyo hasikii la muadhini wala muumini kwani kafunga masikio.
Malalmiko yalipozidi akatoboa matundu mawili matatu (katika picha)ili kuruhusu mafuriko.
Majirani hao wanapanga kumuona Mama Tibaijuka, Waziri wa Ardhi(ambaye vile vile ni wa kwao na huyo mama) ili kuona uhalali wa mtu kuhodhi njia ya mto.
CIMG0902.JPG
 
ponti nzuri lakini ,mambo ya ukabila hapa hayana nafasi
amefanya hivyo kwa sabu ya kabila lake au? fafanua

vinginevyo thread yako inaweza kuitwa PUMBA !
 
..............Lol hii ni kali wakuu,kwahiyo katoa mto kawake kalavati..teh teh teh teh!! Pesa mwanaharamu,sasa Mama Tiba ata-respond positively hapa kweli?
 
ponti nzuri lakini ,mambo ya ukabila hapa hayana nafasiamefanya hivyo kwa sabu ya kabila lake au? fafanuavinginevyo thread yako inaweza kuitwa PUMBA !
Akchuaree...Majirani wa hapo mahala wana mpango wa kumfilisi huyo mama endapo mafuriko yatatokea.Huyu mama ameonyesha eccentricity inayowashangaza wadau.
 
Bongo kila kitu kinawezekana, nasubiria tu pale baharini maji yakisogea baharini mimi napiga bati(UZIO) eneo lile linalobakia najitangazia nimenunua
 
Back
Top Bottom