Mama wa kambo kashaniendea mara mia moja kwa waganga wa kienyeji ili Mzee asinijali, anisahau

mtoa mada inaonekana we ni mshirikina maana hata hujatounyesha huyo mama kaenda lini kwa waganga na ulimuona au vp ila umeconclude tu
Mkuu amini hiki nilichokiandika sitanii wala si mshirikina Mimi ila Kuna vitu vinajitokeza Kila nikienda pale kwao

Mama wa kambo ananipiga vita mkuu.
 
Huu ni walaka nadhani mshua wako yupo humu JF ndio maana umeandika direct thread to him Anyway hayo unayopitia ni 25% niliyowahi kupitia mimi, kidogo niwe mwehu wa kuokota makopo, so what I did nikuondoka home kwenda mikoani kitafuta pesa and pwaaa mama wa kambo anapiga simu kila siku kuomba hela ya matumizi na Karo za watoto na mimi sina khiyana nampa na excess juu ili ajue ubaya una mwisho na mlipaji ni muumba.
Umenifariji Boss
 
mkuu una umri gani?achana nao pambana kujenga himaya yako kivyako,mali ni za baba,mama wa kambo ni wa baba,kulogwa kalogwa baba,hela zinaliwa ni za baba,wewe kaa mbali kabisa na chain yao,watakudhuru bure utakuwa ndondocha au kuku ua ,pambania chako,watoe kwenye mfumo wako kabisa,pambanaaa mpaka siku moja wao watakuja kukutafuta,we tafuta helaaa
P1
 
Kuna anti mmoja hapa Mbezi, ana mtoto mmoja tu na Yuko vizuri kifedha. Huyu anti Ana roho mbaya na uchoyo wa kiwango. Kila mtoto wa dada yake au Kaka yake ambae amekaa kwake Sasa hivi ametoboa. Kwa anti tv inawashwa saa mbili usiku tu kwa taarifa ya habari na yeye akiwepo. Marufuku kukaa sitting room, marufuku kuangalia tv, marufuku kutia kitu mdomoni Kama sio asbuhi, mchana au jioni. Discipline kwa kwenda mbele. Waliobahatika kukaa kwake Sasa hivi wanalia kivulini.
Huyo mama iwe changamoto ya wewe kutafuta vyako. Hakukimbizi Ila anakusindikiza kwa usivyo na akili unahisi anakuroga.
Aache kumroga baba yako akuroge wewe usiyejitambua.
 
Back
Top Bottom