Mama wa kambo kashaniendea mara mia moja kwa waganga wa kienyeji ili Mzee asinijali, anisahau

Mlundilwa Jr

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
2,886
4,283
Huyu mama wakambo simuelewi sijui tatizo ni Yale matakataka anayomiliki Mzee ndiyo yanamtoa Imani na kutaka kunitoa Roho, yaani huyu mama Shida Sana, ameshavunja mahusiano yangu Mimi na Mwanae wa kiume kwa kumwambia mimi eti nafuata matakataka ya yule Mzee na wasipokuwa makini nitawadhulumu.

Sasa nashindwa kuelewa nini anakitengeneza huyu mama wa kambo jamani mbona hatujifunzi kutokana na makosa?

We mama wakambo, wapo wenzako walikuwa na Roho kama yako hii leo hatunao tena katka hii Dunia. Huyo Mzee kuajiriwa Serikalini siyo kibali cha ninyi kuiona pepo. Kila nikija hapo kwenu unalibinua Domo lako utazani umeonja limao haya maisha tu.

Kuna Mwanae wa kike keshamlisishisha uchawi tayari manakKikila nikionana naye lazima niumwe na kuota mandoto ya ajabuajabu!

Ona sasa huyu Mzee siku hizi hata kuniangalia usoni hataki; inaonesha ni kwajinsi gani umemuweka msukule, Baba nakumbuka ni Mdogomdogo alinipenda sana hata pale mama aliponinunulia nguo Baba alimlipa hela yake lakini hii leo Mzee tumekuwa paka na chui.

Elfu kumi unashindwa kunisaidia kisa eti me nishakua mtu mzima, mbona huyo mkeo anawasaidia dada zake na kaka zake ilihali wao wenyewe ni watu wazima?

Wakuu hapa nilipo nimezikwa ingali napumua; yaani huyu mama wa kambo anahangaika kulipa waganga wa kienyeji ili mradi Mzee anisahau anione takataka.

Hakika Mzee wangu ulikosea kuoa, yaani mkeo kakutengeneza ili ionekane Mimi siyo mwanao na Mimi ni mtoto wako wa kwanza Mzee, tena ulizaa kabla hujamuoa huyo.

Anyway, mimi nishakuwa mtu mzima now, ila haya maisha tu malipo ni hapahapa chini ya jua na inasemakana hata Ndg wa Baba hawakanyagi hapo kwenu ndiyo maana mnazikosa baraka.

Huenda mngekuwa mbali sana tofauti na hapo mlipo now, ila tambua mimi nishakuwa mtu mzima Bi mama, na hayo matakataka sina time nayo kabisa, wala msiangaike kuniroga kunifanya niwe chizi kisa hayo mauchafu ambayo mwishowe hao unaowakingia kifua wataishia kugombania.
 
Huu ni walaka nadhani mshua wako yupo humu JF ndio maana umeandika direct thread to him 😎😎😎 Anyway hayo unayopitia ni 25% niliyowahi kupitia mimi, kidogo niwe mwehu wa kuokota makopo, so what I did nikuondoka home kwenda mikoani kitafuta pesa and pwaaa mama wa kambo anapiga simu kila siku kuomba hela ya matumizi na Karo za watoto na mimi sina khiyana nampa na excess juu ili ajue ubaya una mwisho na mlipaji ni muumba.
 
Huyu mama wakambo simuelewi sijui tatizo ni Yale matakataka anayomiliki Mzee ndiyo yanamtoa Imani na kutaka kunitoa Roho, yaani huyu mama Shida Sana, ameshavunja mahusiano yangu Mimi na Mwanae wa kiume kwa kumwambia mimi eti nafuata matakataka ya yule Mzee na wasipokuwa makini nitawadhulumu.

Sasa nashindwa kuelewa nini anakitengeneza huyu mama wa kambo jamani mbona hatujifunzi kutokana na makosa?

We mama wakambo, wapo wenzako walikuwa na Roho kama yako hii leo hatunao tena katka hii Dunia. Huyo Mzee kuajiriwa Serikalini siyo kibali cha ninyi kuiona pepo. Kila nikija hapo kwenu unalibinua Domo lako utazani umeonja limao haya maisha tu.

Kuna Mwanae wa kike keshamlisishisha uchawi tayari manakKikila nikionana naye lazima niumwe na kuota mandoto ya ajabuajabu!

Ona sasa huyu Mzee siku hizi hata kuniangalia usoni hataki; inaonesha ni kwajinsi gani umemuweka msukule, Baba nakumbuka nikMdogmdogo alinipenda sana hata pale mama aliponinunulia nguo Baba alimlipa hela yake lakini hii leo Mzee tumekuwa paka na chui.

Elfu kumi unashindwa kunisaidia kisa eti me nishakua mtu mzima, mbona huyo mkeo anawasaidia dada zake na kaka zake ilihali wao wenyewe ni watu wazima?

Wakuu hapa nilipo nimezikwa ingali napumua; yaani huyu mama wa kambo anahangaika kulipa waganga wa kienyeji ili mradi Mzee anisahau anione takataka.

Hakika Mzee wangu ulikosea kuoa, yaani mkeo kakutengeneza ili ionekane Mimi siyo mwanao na Mimi ni mtoto wako wa kwanza Mzee, tena ulizaa kabla hujamuoa huyo.

Anyway, mimi nishakuwa mtu mzima now, ila haya maisha tu malipo ni hapahapa chini ya jua na inasemakana hata Ndg wa Baba hawakanyagi hapo kwenu ndiyo maana mnazikosa baraka.

Huenda mngekuwa mbali sana tofauti na hapo mlipo now, ila tambua mimi nishakuwa mtu mzima Bi mama, na hayo matakataka sina time nayo kabisa, wala msiangaike kuniroga kunifanya niwe chizi kisa hayo mauchafu ambayo mwishowe hao unaowakingia kifua wataishia kugombania.
Weka namba yake ya whattsup tumfowadie huu ujumbe

USSR
 
Huna time halafu unalalamika? Pole lakini
 
Ramli chonganishi
 
mkuu una umri gani?achana nao pambana kujenga himaya yako kivyako,mali ni za baba,mama wa kambo ni wa baba,kulogwa kalogwa baba,hela zinaliwa ni za baba,wewe kaa mbali kabisa na chain yao,watakudhuru bure utakuwa ndondocha au kuku ua ,pambania chako,watoe kwenye mfumo wako kabisa,pambanaaa mpaka siku moja wao watakuja kukutafuta,we tafuta helaaa
 
Huyo mama wa kambo ndio akutie hasira za kutafuta maisha zaidi. Tafuta chako na omba mungu sana
 
Back
Top Bottom