Mama wa 51 years

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

Updates!!!!!!!
wakuu mama anataka nihame ninakoishi ambako nimepanga ili nihamie kwake
naona kama mwisho wangu unakaribia kwa sababu nahisi ipo siku nitafukuzwa mchana kwweupe
je wakuu mnaonaje hili?????
 
Wewe binafsi unaonaje?

mimi binafsi natamni niwe naye kwa sababu hanipi gharama zozote na ananisadia chochote kile
lakini mtaani kwetu kuna watu waliniona naye wameongea sana mpaka nashindwa kutoka nje
 
mimi binafsi natamni niwe naye kwa sababu hanipi gharama zozote na ananisadia chochote kile
lakini mtaani kwetu kuna watu waliniona naye wameongea sana mpaka nashindwa kutoka nje
komaa naye tu mwanangu usisikilize ya kitaa,
jitahidi umpiga katoto mwana si ana ela urithi hapo wako na mwanao
 
mimi binafsi natamni niwe naye kwa sababu hanipi gharama zozote na ananisadia chochote kile
lakini mtaani kwetu kuna watu waliniona naye wameongea sana mpaka nashindwa kutoka nje

Labda watu mtaani wanahisi umejiweka kwake ili akifa urithi mali zake au kwamba anakupotezea muda wako. Kwani mnatofautiana miaka mingapi? Je unaifahamu historia yake na umeridhishwa nayo? Isije ikawa ni Shuga Mami..
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

We unaonaje? ni vema au cyo vema kuendelea nae.
 
jitume tu kijana,mabinti wa sasa sio rahisi kuweza mambo kama huyo!!ukubwa jiwe bana
 
go to HELL......................huu upupu wako tuodolee hapa

naomba tu ushauri kwa sababu hata mimi sijui nifanye nini
kitu nampenda tukitoka out anabaki kwenye gari ila ananiambia niende kokote nitamkuta kwenye gari
ni msaada wa mawazo tu mzee
 
duh,mkuu endelea kuchimba sukari gulu hiyo,ila kumbuka tamaa mbele mauti nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom