Mama Simba Mbugani alisikika akishauriwa na Kobe mwenye Busara kua Ukicheka nao Watakuhujumu

Kingsman

Member
Aug 8, 2017
84
202
Mama Simba Mbugani alisikika akishauriwa na Kobe mwenye Busara kua Ukicheka nao Watakuhujumu ( Vinyonga) na washaanza Kuonesha makucha kama walivyomuhujumu Mkuu wa Nyika Simba Dume aliyetangulia..

Vinyonga hao wanatabia ya Kubadilika badilika Rangi kuendana na Mazingira yaliyopo kwa wakati husika ikumbukwe Mbugani Serengeti wakati Mkuu wa Nyika na Mkuu wa Familia kabla hajatangulia Mbugani yalisikika Maongezi yao wakimkashifu na kumtuhumu! hawa ni Vinyonga hawawezi kubadilika wataficha Rangi yao na Ipo siku wataonyesha wazi!!!... Kobe Mwenye Busara alisikika......

Lakin Pia Kobe mwenye busara aloendelea kumshauri Mama SIMBA kua sasa Mbugani hakuaminiki mamluki ni wengi ivyo ni lazima aimarishe ULINZI wake na Watoto wake maana hali si Shwari Fisi wapo kazini!!

Kobe aliendelea,,,,,ni vyema kuunda Tasisi Maalumi kwa ajili ya Upepelezi na Uchunguzi Mbugani ambayo haitafungamana na Jeshi la Mbwa mwitu hii itasaidia haki na pia Uhuru na kujitegema katika kuchunga na kupeleleza Maswala makosa mbalimbali kwa kufanya ivi Historia itamkumbuka vizazi na vizazi Mbugani..

Kobe hakuishia hapo aliendelea.... kua idara muhimu mbugani zimeshikiliwa na ukanda wa Pwani ( Tamisemi/Nishati/Maji etc ) ambazo katika hizi Mbili kwa sasa zimekya Mwiba kwa Wanyama Mbugani kwa kukoso huduma muhimu kufikia hatua ya kuwepo kwa mgao Akili kwako Mama Simba je hii imetokea Bahati mbaya naomba nikuache utafakari..kobe alimalizia!!

Kobe akaondoka zake akihaidi kua atarudi tena kumshauri mama Simba kama tu akionesha kuchukua hatua mbugani.....
 
Mama Simba mwenyewe naye ni Kinyonga huyo huyo angalia usiliwe kichwa ukidhani upo salama
 
Mabeberu sijui why waliachia nchi hii bila kuimarisha miundo mbinu,ilipaswa hii nchi iwe colonized mpaka hata miaka ya 90 at last tungekua tunaishi kama hapo south africa tu
Ila at this rate,tusubiri tu Yesu arudi alichukue kanisa mchezo uishe!
 
Wakoloni ni hatari baba, na Yesu hatarudi kwa kuwa hajawahi kuwepo mkuu
 
Mama simba ni ngumu kuwaona wanyama labda ndege warukao.
Mama simba malisho ya watoto anatafutia nje ya pori.
Hivyo wanyama wakongwe wanakuwa huru sana.
Mama Simba Mbugani.....Kobe alisisitiza Bado mbugani wapo wanyama Wazalendo ambao wapo tayari kulinda maslahi mapana ya Mbuga lakini wameamua kukaa kimya kwa kukosa Ushirikiano.......kobe alikazia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom