Mama Samia ulitukosea sana Wana-CCM kwa zawadi ya Nyalandu siku ya mkutano mkuu Dodoma

Kiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe wote hawakushtuka wala kuona ajabu kwa kuzingatia tabia na mwenedo wa Nyalandu.

Huyu wakati wa awamu ya Nne aliuza Nyara za Serikali na kufikia kupandisha twiga ndani ya ndege, pia kugawa vitalu vya uwindaji holela kabisa akiwa waziri wa maliasili na utalii.

Kifupi umetuletea bomu la kutumaliza.

Tuna kazi kubwa kuilinda imani ya chama na serikali kuelekea 2025,
Upo wakati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu...nahisi Kuna Baadhi watajiweka kando kipindi hiki
 
Bora hiyo ccm ifadhiliwe na mabeberu, lakini sio kama zile chaguzi za kihayawani za Magufuli za kuagiza watu wauwawe, na kuachwa na vilema ili ccm watangazwe washindi. Uchaguzi huu wapiga kura hawakufika hata 10m kwa ajili ya udhalimu wa Magufuli. Hakuna hela yoyote kakusanya Bashiru ya halali zaidi ya kupora kwa watu. Safari hii lile kundi lenu la watu wasiojulikana limefikia mwisho, mfuateni Bashiru awape chenu, maana mama hana nafasi ya siasa za kiibilisi.

Kina yakhe tunaangalia na kujisemea, hiiiiii!
 
Kikwete na Hayati walikuwa ni watu wawili tofauti kabisa kimitazamo waliokutanishwa na CCM.

Marafiki wa Kikwete hawakuiva na Hayati na marafiki wa Hayati hawakuiva kabisa na Kikwete.

"Basi hii ndo sentensi timilifu"
 
Kiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe wote hawakushtuka wala kuona ajabu kwa kuzingatia tabia na mwenedo wa Nyalandu.

Huyu wakati wa awamu ya Nne aliuza Nyara za Serikali na kufikia kupandisha twiga ndani ya ndege, pia kugawa vitalu vya uwindaji holela kabisa akiwa waziri wa maliasili na utalii.

Kifupi umetuletea bomu la kutumaliza.

Tuna kazi kubwa kuilinda imani ya chama na serikali kuelekea 2025,
Mafisadi ndio zawadi za ccm!
 
Aliunajisi Sana uke mkutano mkuu.

Wacha tuendelee kuona.
[/QUOTE]
rekebisha kidogo neno baada ya senteso aliunajisi sana maana ni kosa la bahati mbaya tu la kiuchapaji
 
Si tayari ameshaanza kutoa maamuzi ambayo ni irrational, maamuzi ya kuridhisha watu au makundi badala ya kutetea maslahi mapana ya Tz, ni Rais gani anayeruhusu expatriates waruhusiwe as much as per the desire ya investors, ni Rais gani mwenye akili timamu anasisitiza mkataba mkubwa wa 30bn USD usainiwe kwa haraka bila kujali maslahi kwanza ya nchi yake?

Sukuma gang mnaweweseka Sana,

Tulieni mfundishwe ni jins gan nchi inaendeshwa
 
Aliunajisi Sana uke mkutano mkuu.

Wacha tuendelee kuona.

Eti mini??
IMG-20201205-WA0006.jpg
 
SSH is chief national comforter, yupo Ikulu ili ku please makundi yote na sio kuwa kiongozi haswa, anajiona smart but she’s so naive, Rais wa 2021 ambaye kazi pekee ya kitaalamu anayojua ni kupiga porojo za uanaharakati wa NGOs, hayo ndio mafanikio yake.

Mapema sana Sukuma Gang mmeanza kulia. Mama na jiwe ni kitu kimoja, tuachieni mama anyooshe nchi Mitano tena.
 
Magufuri hafananishwi na mtu yeyote hapa duniani, wananchi tunajua hilo
Kwa mabaya au kwa mema ,hebu fafanua ,manaake unaonyesha dalili kuwa nawe ni mmoja ya wale walioanza kumuabudu binadamu binadamu mwenzenu,na Biblia imeweka wazi "alaaniwe amtegemeae binadamu binadamu mwenzeke.
 
Kiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe wote hawakushtuka wala kuona ajabu kwa kuzingatia tabia na mwenedo wa Nyalandu.

Huyu wakati wa awamu ya Nne aliuza Nyara za Serikali na kufikia kupandisha twiga ndani ya ndege, pia kugawa vitalu vya uwindaji holela kabisa akiwa waziri wa maliasili na utalii.

Kifupi umetuletea bomu la kutumaliza.

Tuna kazi kubwa kuilinda imani ya chama na serikali kuelekea 2025,
Twiga hai kupakiwa ndani ya ndege? Hii ilifanyika wakati wa uwaziri wa Ezekiel Maige.
 
Back
Top Bottom