Mama Samia ulitukosea sana Wana-CCM kwa zawadi ya Nyalandu siku ya mkutano mkuu Dodoma

Uwezo wa Jiwe hakuna wa kumfananisha nae hapa nchini na Afrika nzima ,he was a giant in every aspect of human life,itachukua karne kumpata kiongozi bora wa mfano wake
Mama muuza!
Pl'se, naomba umuongeze Mwanyaso gongo ya Tzs.2000 na supu ya marapu rapu ya buchani.
 
CCM ya Makundi inajirudia na fedha zote walizokusanya kina Bashiru zinaelekea kwa wanaojua kutafuna ,nategemea uchaguzi wa 2025 kufadhiliwa na Beberu na CCM kujiombeleza kwa wahindi ,itakuwa taabani bini hoi
 
Na muda sio mrefu Nyalandu atapewa cheo serikalini.
Ndio mjue CCM ya sasa ni CCM ya Jakaya iliyofunikwa jinsia ya kike.

Tutaelewana tu.
Si mnahangaika na wapinzani badala ya shida za watanzania? mkiambiwa mnanunua wapinzani mtabisha, kwa nn iwe hiyo siku na siyo kabla ya hapo?
 
CCM ya Makundi inajirudia na fedha zote walizokusanya kina Bashiru zinaelekea kwa wanaojua kutafuna ,nategemea uchaguzi wa 2025 kufadhiliwa na Beberu na CCM kujiombeleza kwa wahindi ,itakuwa taabani bini hoi
Sahihi
 
Yani unataka chama cha kipenzi chako Samia wauane?

Alafu mataga awakomeshe saa ngapi?

Lazima maji muite mma safari hii
Nyie uaneni tu,sisi ni watazamaji, Serikali ni yenu tunasubiria mtimize ahadi mlizotoa wakati wa kampeni
 
SSH is chief national comforter, yupo Ikulu ili ku please makundi yote na sio kuwa kiongozi haswa, anajiona smart but she’s so naive, Rais wa 2021 ambaye kazi pekee ya kitaalamu anayojua ni kupiga porojo za uanaharakati wa NGOs, hayo ndio mafanikio yake.
Kama mama angekuwa ana mplease kila mtu basi kina polepole na bashiru plus kakoko wangekuwa wapo pale pale. Sio kweli hayo maneno yako.
 
CCM ya Makundi inajirudia na fedha zote walizokusanya kina Bashiru zinaelekea kwa wanaojua kutafuna ,nategemea uchaguzi wa 2025 kufadhiliwa na Beberu na CCM kujiombeleza kwa wahindi ,itakuwa taabani bini hoi

Bora hiyo ccm ifadhiliwe na mabeberu, lakini sio kama zile chaguzi za kihayawani za Magufuli za kuagiza watu wauwawe, na kuachwa na vilema ili ccm watangazwe washindi. Uchaguzi huu wapiga kura hawakufika hata 10m kwa ajili ya udhalimu wa Magufuli. Hakuna hela yoyote kakusanya Bashiru ya halali zaidi ya kupora kwa watu. Safari hii lile kundi lenu la watu wasiojulikana limefikia mwisho, mfuateni Bashiru awape chenu, maana mama hana nafasi ya siasa za kiibilisi.
 
SSH is chief national comforter, yupo Ikulu ili ku please makundi yote na sio kuwa kiongozi haswa, anajiona smart but she’s so naive, Rais wa 2021 ambaye kazi pekee ya kitaalamu anayojua ni kupiga porojo za uanaharakati wa NGOs, hayo ndio mafanikio yake.

Bora huyo mama kuliko yule muuaji.
 
Sisi wananchi ndio tunajua tofauti, ndio maana tunataka tume huru ya uchaguzi tofauti ifahamike.
Wenye akili wanajua hakuna tofauti!

Kama Nyarandu fisadi katoka ccm kwenda kupumzika chadema akapewa uenyekiti wa kanda na form ya urais akapewa ili apumzike vizuri zaidi utofauti wake uko wapi hapo?
 
Bora hiyo ccm ifadhiliwe na mabeberu, lakini sio kama zile chaguzi za kihayawani za Magufuli za kuagiza watu wauwawe, na kuachwa na vilema ili ccm watangazwe washindi. Uchaguzi huu wapiga kura hawakufika hata 10m kwa ajili ya udhalimu wa Magufuli. Hakuna hela yoyote kakusanya Bashiru ya halali zaidi ya kupora kwa watu. Safari hii lile kundi lenu la watu wasiojulikana limefikia mwisho, mfuateni Bashiru awape chenu, maana mama hana nafasi ya siasa za kiibilisi.
Nafurahia sana kuona tindo ana imani kubwa namna hii na rais kutoka ccm
 
Nyalandu very soon ni Waziri ajaye.....hutaki unaacha!
Very possible,tena waziri wa maliasili.
Bunge la CCM limepitisha sheria za kuwalinda viongozi,wakuu sasa tumeishajitengenezea vimeo.Wananchi tusitegemee wale waliokuwa na harufu za kifisadi wakageuka malaika wa maendeleo kwa taifa letu.
Na tusiamini CCM kuwa ni muarobaini wa maendeleo ya taifa hili,muarobaini ni katiba mpya ya Warioba, tuanzie hapo hata ikituchukua miaka mitano.
 
Walionewa kwa kutorosha nyara za serikali ama?
Heb kasome report za ujangili wa wanyama pori ujione ni kipindi gani hasa Tembo walipotea kwa kasi sana na nani aliku waziri na nani alikua Rais then utuambie walionewa kwa lipi hasa.
CCM mnalia lia kama watoto, Serikali ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, mmeshindwa nini kumshtaki?
 
Wenye akili wanajua hakuna tofauti!

Kama Nyarandu fisadi katoka ccm kwenda kupumzika chadema akapewa uenyekiti wa kanda na form ya urais akapewa ili apumzike vizuri zaidi utofauti wake uko wapi hapo?

Ndio maana tunataka wananchi waachwe wachague kwa mapenzi yao kati ya hao wachafu. Sio vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kushurutisha ccm itawale kwa mabavu.
 
Walionewa kwa kutorosha nyara za serikali ama?
Heb kasome report za ujangili wa wanyama pori ujione ni kipindi gani hasa Tembo walipotea kwa kasi sana na nani aliku waziri na nani alikua Rais then utuambie walionewa kwa lipi hasa.
Kigwangwala je alikuwepo wakati wa kikwete
 
Back
Top Bottom