Upo wakati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu...nahisi Kuna Baadhi watajiweka kando kipindi hikiKiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe wote hawakushtuka wala kuona ajabu kwa kuzingatia tabia na mwenedo wa Nyalandu.
Huyu wakati wa awamu ya Nne aliuza Nyara za Serikali na kufikia kupandisha twiga ndani ya ndege, pia kugawa vitalu vya uwindaji holela kabisa akiwa waziri wa maliasili na utalii.
Kifupi umetuletea bomu la kutumaliza.
Tuna kazi kubwa kuilinda imani ya chama na serikali kuelekea 2025,