huduma_apps
Member
- Feb 20, 2016
- 30
- 7
Utashitakiwa!Anakazi ya kukata tepe na kufungua makongamano na mikutano
Kazi yake kula ubuyu na wakina wema sepetu
kwa kumtukana matusi manene-manene na kumthihaki VP?Utashitakiwa!
kwahiyo yeye kazi yake ni ipi mkuu?Sio kazi yake
Makamu wa Rais kazi yake ni kusubiri kutwaa madaraka endapo rais atashindwa kutimiza majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye katibaHii position siielewagi majukumu yake Ila bora aliyeteuliwa atafute jukumu la kumweka hewani mf. Kupanda miti au kusaidia hâta walemavu! Vinginevyo utaonekana huonekani!