Mama Samia Suluhu anajielewa sana na ana roho safi

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,053
33,906
Habarini Wadau,

Huyu mama (Makamu wa Rais) nampenda sanaa (Upendo wa agape) na nafurahi sana kila niionapo sura yake.

Yaani kila anachoongea ni point n again most of her words has logics.

Mfano leo amesema kuwa Viwanja vya michezo vilivyopotezwa virudishwe tena na kama viliuzwa, waliouza kihuni wakanunue kwingine.

Pia amekuwa akistick zaidi katika wizara muhimu sana ya "AFYA" na kusisitiza huduma bora za afya zetu.

-Hana roho mbaya

-Anajali Maslahi ya Umma

-Ana "UTU"

-Ana Hofu ya Mungu

-Hana Ushamba wa kiboya

-Nina uhakika hana Maadui wengi (hasa wananchi) hapa nchini.

Mungu akubariki mama yetu na Tunakuombea.
2016-10-20-08-06-33--706557036.jpeg
2016-10-20-08-08-16--706557036.jpeg
 
Habarini Wadau,

Huyu mama (Makamu wa Rais) nampenda sanaa (Upendo wa agape) na nafurahi sana kila niionapo sura yake.

Yaani kila anachoongea ni point n again most of her words has logics.

Mfano leo amesema kuwa Viwanja vya michezo vilivyopotezwa virudishwe tena na kama viliuzwa, waliouza kihuni wakanunue kwingine.

Pia amekuwa akistick zaidi katika wizara muhimu sana ya "AFYA" na kusisitiza huduma bora za afya zetu.

-Hana roho mbaya

-Anajali Maslahi ya Umma

-Ana "UTU"

-Ana Hofu ya Mungu

-Hana Ushamba wa kiboya

-Nina uhakika hana Maadui wengi (hasa wananchi) hapa nchini.

Mungu akubariki mama yetu na Tunakuombea.View attachment 447458View attachment 447459
Kumbe tupo wengi tunaomkubali huyu mama.. Naona mama Ni mtu pekee anaejielewa katika Serikali hii.. Wengi hukurupuka sana katka maamuzi na maongezi yao..
 
Habarini Wadau,

Huyu mama (Makamu wa Rais) nampenda sanaa (Upendo wa agape) na nafurahi sana kila niionapo sura yake.

Yaani kila anachoongea ni point n again most of her words has logics.

Mfano leo amesema kuwa Viwanja vya michezo vilivyopotezwa virudishwe tena na kama viliuzwa, waliouza kihuni wakanunue kwingine.

Pia amekuwa akistick zaidi katika wizara muhimu sana ya "AFYA" na kusisitiza huduma bora za afya zetu.

-Hana roho mbaya

-Anajali Maslahi ya Umma

-Ana "UTU"

-Ana Hofu ya Mungu

-Hana Ushamba wa kiboya

-Nina uhakika hana Maadui wengi (hasa wananchi) hapa nchini.

Mungu akubariki mama yetu na Tunakuombea.View attachment 447458View attachment 447459
Tutaona mengi mwaka huu!
 
Da headmasters/headmistresses wengi hawapendi secondmasters/ second mistresses wao wakubalike zaidi yao…… sasa sijui sizonje anajisikiaje kuona msaidizi anakubarika kuliko yeye…
 
Ruangwa na Chatto wanatakiwa wajifunze Haiba ya Uongozi toka kwa huyu Mama.
Hata mavazi yake ni ya Kijanja sio ya kishamba !
Mie niliona Lile Jicho Mtepwete lake najikuta nawaza Mbali sana
 
Rungwenna Chatto wanatakiwa wajifunze Haiba ya Uongozi toka kwa huyu Mama.
Hata mavazi yake ni ya Kijanja sio ya kishamba !
Mie niliona Lile Jicho Mtepwete lake najikuta nawaza Mbali sana
Una maana gani mkuu!! "Jicho mtepwete na Misha kuwaza mbali"
 
Yani jinsi huyu mama anavyoongea na alivyo anaonyesha kabisa roho yake ni nyeupe na anapenda sana haki. Ni muislam safi kabisa asiependa dhuluma.
 
Back
Top Bottom