Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,746
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.

Alikuwa akiwaambia wanawake kuwa hawako sawa katika nyanja zote za kijamii na wanatakiwa kutunza mila na desturi nzuri, na kuelezea kuwa hapigi goti kwa sababu ni 'inferior' ila nikuonyesha mapenzi na huba.
 
Back
Top Bottom