Rais Samia kuwaaminisha watu kuwa awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi kutakumaliza kisiasa

Haya makundi ndani ya CCM hayana faida kwa mustakabali wa Taifa, kila anayeingia anasimanga uongozi uliomtangulia, hichi ni chama au genge la wahuni wanaoshindana kula mali za Nchi?
Fanyeni kazi muache kutafutana uchawi.
Hakuna aliye msafi huko mbogamboga wanachojali ni kuyajaza matumbo yao na kuwapatia ajira ndugu zao.
 
Ahahaha,,yaani nyie ni mtahira, jitu lishakufa nyie Bado mnaabudu tu, kwaiyo furaha yenu Samia awe anamtaja marehemu wenu kila anapohutubia,,

Nyie muda simrefu mtavua nguo mtembee uchi
Hata kwenye sheria na maandiko ya kitaaluma watu wanatajwa. Tunamtaja Nyerere, Yesu na Mtume ambao hatukuwaona sembuse Magufuli!

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.

Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?

Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama

Chutama

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kipindi JPM anawasema vibaya watungulizi wake mlishangilia leo mnaumia yeye kusemwa
 
Tukae 'at ease' jamani! Hakuna aliyewahi kukaa madarakani hapa mamaland akaacha kumaliza mihula yake kwasababu za kisiasa au kufanya vibaya. Wote walikuwa wana uhakika wa kumaliza miaka 10 ukiachilia mbali sababu za kiafya au majanga ya asili.

Sasa mama na wafuasi wake, waendelee kufanya wafanyayo bila kumnyooshea mtu kidole kwakuwa wataendelea kufanya hivyo mpaka 2030, hakuna wa kuwazuia, ya nini sasa kupigizana kelele?
Ccm ni chaka baya sana na walafi wa kutawala.
 
Sasa hivi kwenye siasa za bongo ni battle kati ya Magufuli na Samia.

Kuna watu wapo nyuma ya haya majina mawili wanayatumia kwa maslahi yao.

Kuna watu wanaomtukana Magu ili kumfrahisha Mama aone yeye anatenda mambo ya maana kuliko mtangulizi wake, lakini sio kweli wanamtakia mema Mama wanafanya hivyo ili kupata support ya ikulu. Wanataka warudishe power iliyopotea.

Ila ukirudi kwa wananchi nyota ya mchezo ni Magufuli.

Wakati hayo yote yakiendelea ndani ya CCM jamaa wa Chadema hawaelewi hata sasa hivi wanapigania nini mara mama anaupiga mwingi mara mama anazingua mara katiba mpya yani wamepoteana hawajui hata kinaendelea nini kwenye maisha yao.
Umerogwa wewe
 
Imefika wakati sasa tuseme ukweli, awamu ya tano wezi, mafisadi, na usiulize makamu alikuwa wapi, yule mtu aliwaingilia na kuwaficha wote PM, spika jaji mkuu, wote hawakupenda jinsi anavyo iangamiza Nchi toka uchumi, demokrasia, diplomasia, uhuru na utu, utawala bora na heshima kwa taifa! Sisahau alivamia kikao cha korosho na wanunuzi, akaaribu hadi leo bei ya korosho haijatengemaa!
 
... acheni kumtisha Mh. Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Ana taarifa nyeti kuliko mlizo nazo mataga except suala la Mbowe kaingizwa chaka.
 
Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.

Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?

Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama

Chutama

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Nyie watu mnataka nini sasa? Huyu Magufuli alikuwa anawabagaza watangulizi wake kuwa hawakufanya kitu ila yeye ndiyo kafanya sana. Na alikuwa analaumu sana mikataba aliyoingia Kikwete kuwa ilikuwa ya kinyonyaji.

Kwa nini mnataka Samia akae kimya kwenye madudu yaliyofanywa na Magufuli? Kwani hata ikimpunguzia umaarufu si yeye ndiye muathirika?

Yaani Mtanke inakuja akilini kweli tuendelee kumuogopa DIKTETA aliyekufa na sasa anaoza huko ahera?
 
JPM kawaambukiza uzezeta kundi kubwa sana la watanzania. Given majority ya watanzania tangu mwanzo hamnazo, jamaa ndio kawafanya kuwa mad kabisa.
 
Sasa hivi kwenye siasa za bongo ni battle kati ya Magufuli na Samia.

Kuna watu wapo nyuma ya haya majina mawili wanayatumia kwa maslahi yao.

Kuna watu wanaomtukana Magu ili kumfrahisha Mama aone yeye anatenda mambo ya maana kuliko mtangulizi wake, lakini sio kweli wanamtakia mema Mama wanafanya hivyo ili kupata support ya ikulu. Wanataka warudishe power iliyopotea.

Ila ukirudi kwa wananchi nyota ya mchezo ni Magufuli.

Wakati hayo yote yakiendelea ndani ya CCM jamaa wa Chadema hawaelewi hata sasa hivi wanapigania nini mara mama anaupiga mwingi mara mama anazingua mara katiba mpya yani wamepoteana hawajui hata kinaendelea nini kwenye maisha yao.
Hahaha we jamaa umenifurahisha kweli sjui Chadema watakuja kusaport kundi Gani kutupiga mwingi au umagufulification
 
Huo ni mtazamo wako. Lakini awamu hiyo ndio ilikuwa inatia taarifa za uongo kuliko awamu zote. Na ujue uongo hushika ukashikamana kama unavyoaminishwa mpaka leo kuwa miradi yote ilikuwa hela za ndani.
Ukweli ni kwamba mama hawezi kujitenga kwa namna hoyote ile na awamu ya tano!! Kama kuna mazuri yeye ni sehemu muhimu ya mazuri hayo ni kama kuna mabaya yeye pia ana mchango muhimu katika mabaya hayo!! Wanaomponda JPM na kumsifia Mama wanamtukana kisirisiri!!
 
Hivi nyie mazezeta,huyo dikteta magufuli yeye Ni Nani kwenye Nchi hii? Eti Samia asifanye mambo kujitenga na dikteta magufuli,

Muacheni mama awatumikie watanzania, dikteta hakuna zuri lolote ambalo mama anaweza kuiga kwake kenge nyinyi!

Muacheni Samia apige kazi, nyie endeleeni kumuabudu mungu wenu bandia
Majinga hays anamchukulia dictator kama mungu. Yakiambiwa tukague pesa za mikopo yanaanzisha shule za uongozi. Pumbavu kabisa
 
Ukweli ni kwamba mama hawezi kujitenga kwa namna hoyote ile na awamu ya tano!! Kama kuna mazuri yeye ni sehemu muhimu ya mazuri hayo ni kama kuna mabaya yeye pia ana mchango muhimu katika mabaya hayo!! Wanaomponda JPM na kumsifia Mama wanamtukana kisirisiri!!
Huyo mungu wenu JPM mbona alikuwa anamponda Kikwete,ihali nayeye alikuwepo kwenye serikali ya Awamu ya nne?;

Kenge nyinyi!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom