Rais Samia kuwaaminisha watu kuwa awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi kutakumaliza kisiasa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.

Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?

Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama

Chutama
 
Mama hajawahi kujitenga na Magufuli na jana tu amemtaja kwenye uzinduzi wa barabara ya Morocco - Mwenge.
 
Tukae 'at ease' jamani! Hakuna aliyewahi kukaa madarakani hapa mamaland akaacha kumaliza mihula yake kwasababu za kisiasa au kufanya vibaya. Wote walikuwa wana uhakika wa kumaliza miaka 10 ukiachilia mbali sababu za kiafya au majanga ya asili.

Sasa mama na wafuasi wake, waendelee kufanya wafanyayo bila kumnyooshea mtu kidole kwakuwa wataendelea kufanya hivyo mpaka 2030, hakuna wa kuwazuia, ya nini sasa kupigizana kelele?
 
Sasa hivi kwenye siasa za bongo ni battle kati ya Magufuli na Samia.

Kuna watu wapo nyuma ya haya majina mawili wanayatumia kwa maslahi yao.

Kuna watu wanaomtukana Magu ili kumfrahisha Mama aone yeye anatenda mambo ya maana kuliko mtangulizi wake, lakini sio kweli wanamtakia mema Mama wanafanya hivyo ili kupata support ya ikulu. Wanataka warudishe power iliyopotea.

Ila ukirudi kwa wananchi nyota ya mchezo ni Magufuli.

Wakati hayo yote yakiendelea ndani ya CCM jamaa wa Chadema hawaelewi hata sasa hivi wanapigania nini mara mama anaupiga mwingi mara mama anazingua mara katiba mpya yani wamepoteana hawajui hata kinaendelea nini kwenye maisha yao.
 
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

Mama yupo sahihi na ukweli lazima usemwe.

20211206.jpg
163870347.jpg
1638703545.jpg
 
Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.

Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?

Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama

Chutama

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hivi nyie mazezeta,huyo dikteta magufuli yeye ni Nani kwenye Nchi hii? Eti Samia asifanye mambo kujitenga na dikteta magufuli,

Muacheni mama awatumikie watanzania, dikteta hakuna zuri lolote ambalo mama anaweza kuiga kwake kenge nyinyi!

Muacheni Samia apige kazi, nyie endeleeni kumuabudu mungu wenu bandia
 
Mama hajawahi kujitenga na Magufuli na jana tu amemtaja kwenye uzinduzi wa barabara ya Morocco - Mwenge.
Ahahaha, yaani nyie ni mtahira, jitu lishakufa nyie Bado mnaabudu tu, kwaiyo furaha yenu Samia awe anamtaja marehemu wenu kila anapohutubia.

Nyie muda simrefu mtavua nguo mtembee uchi
 
Acha porojo wewe, wao si waliaminishwa hakukua na ufisadi sasa ndio wanaelezwa ukweli kwamba kulikuwa na ufisadi wa kutisha.

Tunaweza hata kukamata akina Polepole na kukamata waliopiga ile til.1 ya Assad.

Tafuta wajinga wenzako ndio waeleze kwamba hakukuwa na ufisadi.
 
Amedanganywa na Msoga, naye alipoingia alianza kuwachafua wateule wa Mkapa, ile kesi ya Mahalu, Mkapa akaamua na yeye kumwaga mboga.
 
Huo ni mtazamo wako. Lakini awamu hiyo ndio ilikuwa inatia taarifa za uongo kuliko awamu zote. Na ujue uongo hushika ukashikamana kama unavyoaminishwa mpaka leo kuwa miradi yote ilikuwa hela za ndani.
Tulilishwa matango pori kwa kiasi kikubwa sana .
 
Back
Top Bottom