Mama Salma Upo?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,261
3,909
sull03-kikwete-sul-vii.jpg
 
mbona mi sioni km ni lolote kwa Salma? Too much make up...wawekwe pamoja,wote bila makeup tuone...he he!
Aise mbona JK anaonekana kachoka?
 
ebwana taratibu ndugu mjumbe maana watoto na mzee ni member wa JF usije ukaleta matatizo kwenye jumba letu la vilaza (Ikulu)
 
Mlitaka Asimame Na Shetani Au?
Jk Is Handsome Na Wajibu Kwa Kila Demu Atkayesimama Naye Ajisikie Huru Na Mwenye Bahati,ila Salma Ni Zaidi .

Uko Juu Muungwana
 


Quizz:

Wale wataalamu wa Sanaa, mnaweza mkatupa maelezo ya ziada kama picha ingekuwa fully ingekuwaje? Mikonoz iko wapi? Miguu vipi, nk nayo iko vipi? nk.

Lakini msinitaje . . . . . Aweeee mama weee ingekuwa wewe ungefanyaje . . . . aweee mama weee ungekuwa wewe ungefanyaje . .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom