Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,448
Hana elimu yoyote huyo mswahili mpiga porojo tu!Mama Salma Kikwete, ana elimu gani?
Bingwa wa NGO's na vikundi uchwara!
Hana elimu yoyote huyo mswahili mpiga porojo tu!Mama Salma Kikwete, ana elimu gani?
Stahiki za mavi?yuko sahihi sana. Wapewe stahiki zao
Ikiwemo MADAWA YA KULEVYA.Bado pia wana biashara za kila namna
HII MIJITU HUWA HAIRIDHIKAGI JAMANI, BWANA ANALIPWA KODI ZETU 80% NA MAKOLOKOLO KIBAO NYUMBA,MAGARI,WALINZI,AFYA ELIMU EEH, YEYE ANATUZWA 40% YA MSHAHARA WA RAIS BWANA AKIFA...MASIKINI AKIPATAKwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.
Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!
Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?
Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?
Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?
Hebu nimuulize tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?
Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?
Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?
Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?
Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!
Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
Elimu yake ndogo sana kukata ishuesKwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.
Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!
Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?
Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?
Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?
Hebu nimuulize tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?
Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?
Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?
Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?
Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!
Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
Tayari serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuwaudumia kila kitu bule mpaka wafe na wanapata asilimia furani ya mishahara waliyokuwa wakipata wakati wakiwa madarakani. Sasa top of fhat bado udai pension kweli! Kama huo sio ulafi ni nini?Nilichomwelewa ni kwamba anadai kabla ya waume zao kuwa viongozi wakuu (rais, vice & waziri mkuu) walikuwa na ajira zao. Baada ya waume zao kupata nyazifa za juu, walilazimika kuacha kazi zao (kama wastaafu) na kufanya majukumu kama wake wa viongozi wakuu
Sasa hapo anadai mafao yao ya kazi zao baada tu ya kustaafishwa.
Nayeye hajasema anadai ila analenga kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo na sio tu wake bali pia inaweza kuwa ni wanaume wenye viongozi wakuu wanawake kama ilivyo sasa raisi ni mwanamke na anamume wake kama hapo awali alikuwa ana kazi yake na amestaafishwa alipwe mafao yake.
Sasa nyinyi mnadai kwamba yeye anataka mafao kwakuwa ni mke wa raisi mstaafu huoni utofauti hapo
Kuna watu husingizia ohh wanawake uswahlinini wa hali ya chini pesa mbeleHII MIJITU HUWA HAIRIDHIKAGI JAMANI, BWANA ANALIPWA KODI ZETU 80% NA MAKOLOKOLO KIBAO NYUMBA,MAGARI,WALINZI,AFYA ELIMU EEH, YEYE ANATUZWA 40% YA MSHAHARA WA RAIS BWANA AKIFA...MASIKINI AKIPATA
Angeongea na mumeweElimu yake ndogo sana kukata ishues
Mkuu The Knowledge Seeker , natumaini kazi inayoendelea unaiona, kazi iendelee hadi mambomba yote nchi nzima yatakapo toa maziwa na asali.Pascal Mayalla utanisamehe ila napenda kukukumbusha kuwa mpaka hapa tulipo ndio mmetufikisha hapa na bado mnatupeleka nchi ya ahadi.. asanteni
Ile alilipwa mara moja na usikute hata fomu hakujaza wala barua ya kuajiriwa na barua ya cheo cha mwisho hakuombwa.Nilichomwelewa ni kwamba anadai kabla ya waume zao kuwa viongozi wakuu (rais, vice & waziri mkuu) walikuwa na ajira zao. Baada ya waume zao kupata nyazifa za juu, walilazimika kuacha kazi zao na kufanya majukumu kama wake wa viongozi wakuu.
Sasa point yake ni haki ya mafao yao ya kazi walizokuwa wanafanya mwanzo ndo wanazitaka😎😎😎
TUFANYE MAOMBI MAALUM KWA HAWA WANAOJIFIKIRIA WAO TU NA SIYO WANANCHI.WANGEJUWA TUNAVYOVUJA JASHO MTAANI WASINGETHUBUTU KUSEMA HAYO.Kifupi huyo mama ni mlafi sana na h ata akipata hiyo pension inayomtoa utu bado ataona ni ndogo sana ataomba iongezwe
HUU NI UFISADI ULIOPITILIZA....Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.
Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!
Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?
Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?
Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?
Hebu nimuulize tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?
Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?
Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?
Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?
Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!
Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
Kumbuka na nyumba wanajengewa na serikaliTayari serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuwaudumia kila kitu bule mpaka wafe na wanapata asilimia furani ya mishahara waliyokuwa wakipata wakati wakiwa madarakani. Sasa top of fhat bado udai pension kweli! Kama huo sio ulafi ni nini?
Utamlaumu huyo mama bure kimsingi akili yake ndio ilipoishia, sio kiongozi kwa uwezo, bali anabebwa na huu mfumo uliojaa upendeleo. Usitegemee wazo lolote la maana kutoka kwake, hapo ndio kamaliza.Hakika kabisa alieshiba hamjui mwenye njaa!
Hivi Katika dimbwi hili la umaskini linalotukabili mamilioni ya watanzania, hivi mwakikishi wetu Bungeni, ndiyo atoe mawazo yake binafsi ya kuomba Bunge lifikirie wake wa ma-Rais wastaafu, wake wa ma-Waziri wastaafu nao walipwe pension?
Kwani hayo mafao ni yake au ya mume wake ?Tayari serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuwaudumia kila kitu bule mpaka wafe na wanapata asilimia furani ya mishahara waliyokuwa wakipata wakati wakiwa madarakani. Sasa top of fhat bado udai pension kweli! Kama huo sio ulafi ni nini?
Mke wa Nyerere ,Mkapa na Magufuli wanapewa nadhani 70% ya mshahara wa Rais aliyepo madarakani kama pesa za matunzoMimi naona kama ofisi ya first lady inatambulika kikatiba na inategewa bajeti, kwanini wasipewe pession? tuache ku waonea kisa wana pesa haki itendeke mbona maraisi wa bunge majaji wanapewa pension licha ya kua maisha na mishahara yao ilikua mizuri?
Kwanini mama Nyerere Mama Magufuri mama Mkapa wa sipewe pession, kwanini wabaki kupata msaada na zawadi wakati katiba ina watambua, hapana hapo kuna point, tusitangulize hali yetu ngumu ya maisha kufanya uamuzi