Mama Salma Kikwete Azindua Mpango Wa Kasi Ya Uwezeshaji Wanawake Na Wasichana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Salma Kikwete Azindua Mpango Wa Kasi Ya Uwezeshaji Wanawake Na Wasichana

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  PICHA NA IKULU [​IMG]

  Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro baada ya Mama Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
  [​IMG]

  Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali wakifurahia uzinduzi wa Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.

  PICHA NA IKULU
   
 2. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mbona naona asilimia kubwa wamejifunga vilemba? au walikuwa kwa kakobe?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Wakafuate kitu gani kwa Mchungaji Kakobe? MtotoSix
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...