Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

Anasomewa taarifa ya mkoa? Ana mamlaka ya kumwajibisha nani? Jaman magamba!

Halafu imesababisha hata mwandishi anayeripoti ziara yake ameshindwa hata kueleza ni ziara binafsi au ziara ya kiserikali.
 
Haiwezekani Mke wa Rais kupokea ripoti ya Mkoa huku ni kupotoka hata kwa viongozi wa mkoa? Inamaana hata hawa viongozi wa mkoa hawajui wanawajibika kwa nani? Hi ni Tanzania ya wajinga .......................
habari ndio hiyo mkuu Zipuwawa, tena ziko kwenye picha maana ungesikia redioni/gazeti ungebisha labda!
 
du afu mbn kama rukwa imesulika Ikulu ndogo lakini hata furniture zinaonekana za zamani sna Mheshimiwa raisi ana muda gani hajaenda huko?
 
huu ni ujinga usiomithilika, yani msomi mzima wa shahada ya udaktari(inawezekana ni masters), tena mwanaume unajisimamisha kusoma taarifa ya afya kwa mke wa rais ambaye hatambuliki kikatiba wala kisheria, that is crazy, ingekuwa mimi wallah nisingesogea eneo lile na wasingenifanya chochote
 
kwanza ndani ya katiba ya JMT hailazimishi kuwa na mke kama ni sifa ya kugombea urais hivyo automatically mke wa rais hana majukumu yoyote ya kiuongozi ya taifa labda kumliwaza na kumfariji mumewe !! hiki kinachotokea ni upuuzi,ulimbukeni na zaidi ya yote ni ukiukaji wa katiba!! kinachoendelea ni michezo ya kuigiza ya kujipendekeza na kuuza sura!! JK INABIDI AELEWE KUWA MSOGA NI TANZANIA LAKINI TANZANIA SIO MSOGA-asituletee mambo ya msoga hapa!
 
Kwani mmesahau JK alishasema Urais ni suala la familia? Rejea JK alipokuwa akimkabidhi Ridhiwani makabrasha ya kwenda kusaka wadhamini mwaka 2010!
 
Huyo ni mke wa raisi, hata akienda saluni kusuka huwa kuna security, ama anataka kwenda mkoani kwa shost wake kupena "umbea" huwa lazima pawepo na mambo haoyo. Huyo yeye amepeleka vifaa vya hospitali na anamkutano na akina mama kwenye vyama vyama vyao. Naoana koment nyingi zina ashiria kupinga hilo kwa minajili ya gharama, sawa lakini habu piga picha mtu kama fist lacdy unakutana naye kwenye daladala.. au kwenye basi au amepanda boda boda...! Hata Josephine Mushumbushi hana levo hiyo kwenye upinzani....! ana heshimika na anakonvoy yake, kwe walio ishuudia kule kwenye M4C wanajua
 
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: punguzeni masufuria wakuu. baba yetu safari ni nyingi sasa mama akimsaidia kuna ubaya?? ni sawa na ukuwa kwako mmeo au mkeo anapokuwa safarini shurti umsaidie kazi zake bila hivyo mambo mengi si yatalala???? hebu tumpe sapot wakuu. pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
 
Nchi ipo ICU hii ni dalili tosha kuwa mama salma anajiandaa kugombea ubunge na iwapo membe atakuwa RAIS basi huyu mama atapewa uwaziri
 
Huyo ni mke wa raisi, hata akienda saluni kusuka huwa kuna security, ama anataka kwenda mkoani kwa shost wake kupena "umbea" huwa lazima pawepo na mambo haoyo. Huyo yeye amepeleka vifaa vya hospitali na anamkutano na akina mama kwenye vyama vyama vyao. Naoana koment nyingi zina ashiria kupinga hilo kwa minajili ya gharama, sawa lakini habu piga picha mtu kama fist lacdy unakutana naye kwenye daladala.. au kwenye basi au amepanda boda boda...! Hata Josephine Mushumbushi hana levo hiyo kwenye upinzani....! ana heshimika na anakonvoy yake, kwe walio ishuudia kule kwenye M4C wanajua

Hoja si yeye kuwa na 'security detail' au 'executive motorcade' bali ni kwenda kwenye mkoa na kupewa ripoti ya mkoa kama yeye ni mmojawapo wa viongozi wakuu.
 
Hata kampeni si ilikuwa ya Baba, Mama na Watoto? Hamna cha ajabu hapa. Wao ndio wenye urais hadi 2015. Halafu nisikie CHADEMA mnalaumu wakati ndo mnafanya mambo haya yatokee. Asante sana Rais Salma Jakaya Kikwete,uzi huo huo hadi CHADEMA isambaratike
 
Kwakweli kwa muda mrefu nimekuwa nikihoji wajibu wa mke wa raisi na mrija wa WAMA. Kazi wazifanyazo WAMA ni zile ambazo zingefanywa na Wizara ya Afya, Wizara ya Elimu na Wizara ya Akinamama na Watoto. Nilimuona akipiga picha na Waziri wa Afya pale Muhimbili na kuwakabith vitanda ambavyo vimetolewa na WAMA. Sasa kama wama wamepata tenda ya kusupply vitanda vya wagonjwa mahospitalini basi tujulishwe credibility yao, pia tufahamu kuwa ni lini WAMA watapeleka vitanda na madawa kwenye zahanati za vijiji vyote vya Tanzanina.

Cha ajabu ni kuwa, kila raisi anaposafiri, mama nae anapeleka bakuli chini ya mwamvuli wa WAMA, pesa zinazopatikana na matumizi yake hakuna anehoji. TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI.
 
Kaenda kumega pande la ardhi lenye madini ya almasi,shaba,dhahabu,hiyo familia ni michwa kila pande ya nchi wamekata mapande ya ardhi kwa manufaa yao waroho wakubwa hao
 
Acheni wivu usiokuwa na maana mwache mh mama yetu salma kikwete ale nchi.WW unasema mke wa rais kibaki hawezi fanya mambo kama ya mama salma kama mambo ya ajabu sana lkn mkumbuke Mama Kibaki aliwahi kuvamia chumba cha habari cha uchapaji magazeti kule kenya na kumpiga mhariri wa gazeti kwa kile alichodai kumwandika vibaya yaani rais kibaki lakini mama salma hajawahi fanya mambo hayo..Pia rais museven kamteua mke wake kuwa waziri wa serikali yake lkn kikwete hajafanya hivyo japo katiba haimzuii kufanya hivyo.Tuacheni wivu watanzania wenzangu
 
Back
Top Bottom