Mama Salma Kikwete anakuja kwa kasi

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
sasa first lady wetu anakuja kwa kasi kila siku kwani yupo mahali anafanya kakitu cha maendeleo au anatoa hoja za hapa na pale na anapata kuwekwe kwenye vyombo vya habari. Kama anakampango cha kuwa naisi wa kwanza mwanamke vile, akiendelea na spidi hii lolote lawezekana
 
Natahani hana nia hiyo na haenda hata hawazi hilo, ila anatekeleza jukumu lake kama "Mama wa Kwanza" kwa hiyo ni Mlezi wa Taifa kama Mama yako anavyowajibika au alivyokuwa akiwajibika katika masuala yanayohusu famila yenu.
 
dunia hii ukitaka kuwa raisi tuu si ujulikane ma ufanye kampeni sasa sindo mambo anafanya sasa kila siku yupo kwenye habari
 
sasa first lady wetu anakuja kwa kasi kila siku kwani yupo mahali anafanya kakitu cha maendeleo au anatoa hoja za hapa na pale na anapata kuwekwe kwenye vyombo vya habari. Kama anakampango cha kuwa naisi wa kwanza mwanamke vile, akiendelea na spidi hii lolote lawezekana
raisi wa mashangingi wa magomeni, atafaa zaidi
 
Msinifanye nitukane nikala ban ! Alaniwe mleta hii mada damn , mtatuponza wengine. Labda akawe rais wa Jahazi modern taarab.
 
sasa first lady wetu anakuja kwa kasi kila siku kwani yupo mahali anafanya kakitu cha maendeleo au anatoa hoja za hapa na pale na anapata kuwekwe kwenye vyombo vya habari. Kama anakampango cha kuwa naisi wa kwanza mwanamke vile, akiendelea na spidi hii lolote lawezekana

Apeleke walimu ktk shule za kata
 
sasa first lady wetu anakuja kwa kasi kila siku kwani yupo mahali anafanya kakitu cha maendeleo au anatoa hoja za hapa na pale na anapata kuwekwe kwenye vyombo vya habari. Kama anakampango cha kuwa naisi wa kwanza mwanamke vile, akiendelea na spidi hii lolote lawezekana
unanitafuta?
 
Waungwana ni mtazamo wangu tuu siku mkisikia nayeye anachukua mafumu msishangae
 
sasa first lady wetu anakuja kwa kasi kila siku kwani yupo mahali anafanya kakitu cha maendeleo au anatoa hoja za hapa na pale na anapata kuwekwe kwenye vyombo vya habari. Kama anakampango cha kuwa naisi wa kwanza mwanamke vile, akiendelea na spidi hii lolote lawezekana

Akiweza kutekeleza zile ahadi alizozitoa yeye na mumewe namfagilia. Kigoma yetu tuliambiwa itakuwa the Dubai of Africa. Na ile meli tuliahidia ziwa Tanganyika tunaingoja
 
Sifa mojawapo ya kuwa Rais wa Tanzania ni lazima uwe na Shahada au elimu inayofanana na hiyo.
 
Back
Top Bottom