Elections 2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya CHADEMA

Hivi huyu Mwanamke mbona ana kiherehere hivi???? yaani kumbe nae ni nanihii........?
Yeye ni nani kichama? na takutana na makubwa mno kama akiendelea kudhani nchi ni yake yeye tu na mumewe na wanae...... walikmomesha.
 
Huyu mama alikosea sana hii ilitakiwa kuwa changamoto kwake. Me sijaona cha kumshangaza hasa ukizingatia siasa ya Tanzania ni ya mfumo wa vyama vingi... Ndio akae ajipange namna ya kuwashawishi hao wanawake ili wampigie kura Mumewe. Ila kwa sasa nampa pole sana maana hili limethibitisha kuwa kazi aliokuwa anaifanya imegonga mwamba
 
NYAMBAFU!..................ulifikri huko ni pwani wanakopiga makofi hata kikwete na dada salma akikenua.....mkome sehemu zingine km mbeya watu hawataki kudanganywa wakati wote..........
 
Duh...Somebody changed the title....I dont like to call her Mama...she is not...She only think CCM and NOT Tanzania
 
Mimi huwa nmsamehe maana nina wasiwasi na capacity yake!!!

Sasa alitegemea afanyiwe nini?:jaw:
 
huyu kweli bagas, kilichomshangaza sasa nini?mxuuuu naomba msizidi kunichefua maana nipo na bendera yangu ya chadema apa naishangilia
 
“Wanawake wanafahamika ni watu wenye msimamo, huwezi kukuta mwanamke anahama CCM na kuhamia vyama vya upinzani na hata kama wapo ni wachache sana, lakini wanaume wao ni kawaida yao kila kukicha ni kubadilisha vyama,”alisema Mama Salma Kikwete.

Hivi Mumewe kahama vyama vingapi? Je anamjua Chiku Abwao?
 
Hivi anasema watu wanampenda yeye ama wanakipenda chama chake? Kwa hapo Tunduma usikate tamaa mama mkwere, jaribu tena baadae. MAUMIVU HUANZA TAAARATIBU NA HALAFU KISHA..... TUMEJIZATITI KUMPA KURA ZA NDIYO RAIS MAKINI DR SLAA.
 
OK. Mwanadamu akikosa ufahamau na kutambua mwanadamu mwenzie ana utashi na maamuzi yake tofauti na ya kwake hupata taabu. Mungu awasaidie viongozi kama yeye kuwa na HEKIMA ya Kimungu katika maamuzi yake.Teru
 
msimlaumu, alidhani watu wote ni shemeji zake na mawifi zake...watu wakilewa madaraka bwana wanakuwa kama nanihii hivi...nini vile
 
Hahaah Mkimbizi umenifurahisha sana na kuogopa kufungiwa if u ask me anastahili hiyo alama ya .....sorry alama ya nyakati.. Kweli huyu mama anaweza kufanya mtu ukapewa ban ya milele. Salma unashangaa nini kwani ulifikiri watanzania mabwege kama anavyofikiri mumeo? Wewe kaanze kufungasha sijui ni usawa wa Bagamoyo au wapi tena tutasaidia kuleta box za kufunga mizigo nakadhalika. Kitaeleweka mwaka huu.
 
akionyeshwa alama yao ya ngumi angelalamika oh wanataka kunipiga, sasa kaonyeshwa alama ya amani bado ana lalamika, kulikoni mama?
 
Back
Top Bottom