Mama salma kikwete alaani mauaji ya raia wa china | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama salma kikwete alaani mauaji ya raia wa china

Discussion in 'Jamii Photos' started by eRRy, Oct 19, 2011.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,074
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [h=1]MAMA SALMA KIKWETE ALAANI MAUAJI YA RAIA WA CHINA[/h]
  WEDNESDAY, 01 SEPTEMBER 2010 14:55 ADMINISTRATOR
  [​IMG][​IMG][​IMG]

  [​IMG]
  Mke wa rais mama Salma Kikwete, amelaani vikali mauaji ya mfanyabiashara wa kigeni raia kutoka China bi Hang Bing aliyeuawa hivi karibuni jijini Dar es Salaam baada ya kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa wajambazi.
  Mfanyabiashara huyo aliuawa kwa kupigwa risasi Oktoba 11 eneo la Kurasini ambapo majambazi hao inasadikiwa walitoweka na kiasi kikubwa cha fedha.
  Akizungumza waakti wa kuaga mwili wa marehemu Hang Bing Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, Mama Salma Kikwete wameelezea kusikitishwa na tukio hilo ambapo wamemtaja mwanamke huyo kuwa alikuwa mwanaharakati wa maendeleo ya wanawake wa Tanzania kutokana na mchango wake wa hali na mali kwa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) pamoja na jeshi la polisi.
  [​IMG]
  Nae balozi wa China nchini Tanzania Liu Xinsheng pamoja na jumuiya ya wachina wanaoishi nchini ,wameomba waliohusika na mauaji hayo wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.

  Wakati huo huo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova,amesema jeshi la polisi litafanya kila liwezezalo kuhakikisha waliofanya mauaji hayo wakamatwa. Aidha ametangaza zawadi ya shilingi milioni 5 kwa yeyote atakeyetoa taarifa za kufanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa.
  -----------------------------------
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,770
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 280
  Na wale waliouawa na askari Arusha mbona hatukuwasikia wakilaani? Vipi waliowafukia Shinyanga? Mbona hatukuwasikia?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,612
  Likes Received: 20,200
  Trophy Points: 280
  Inaelekea kwa huyu Mama uhai wa Watanzania hauna maana yoyote ukilinganisha na wa Mchina, vinginevyo angepaswa pia kulaani mauaji ya Tarime, Shinyanga na Arusha
   
 4. sodeely

  sodeely Senior Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hawana lolote kujipendekeza tu kwa wachina..
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Full kujipendekeza ila ndo miafrika tulivyo. Sijui ni lini tutajitambua na kujithamini, huyu mama hajasema lolote kuhusu mauaji ya watu Igunga!
   
 6. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watanzania tutaendelea kuwa mazezeta hadi lini? Akiuawa Mchina mgeni serikali inafanya kila jitihada ili wahalifu wapatikane lakini wakati huo maauaji kama hayo yakifanywa na wageni kwa Watanzania wenzetu serikali huwa kimya. Ni nini tafsiri ya vitendo hivi vya serikali?
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Eh!jaman BINGO YA MIL 5?
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,688
  Likes Received: 2,770
  Trophy Points: 280
  waache wawalilie wachina wenzao, sisi tutawalilia watz wenzetu.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  waliokufa igunga ni viherehere vyao,
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Huyu mchina anafanya nini hapa na huyu mama? anauitafuta jela eeh

  [​IMG]
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ndiyo sera kuu ya familia yake wawapo ikulu
   
 12. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shame on you.Kama waliokufa Igunga ni kiherehere hata huyo mchina ni kiherehere chake atatembeaje pesa nyingi wakati unajua hii ni bongo
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unataka anyimwe kwenda kubembea!?
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  kwahiyo watanzania wanaouawa maneo mbalimbali kuna mtu mwingine wa kuwapa poole
   
 15. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Du, Mama Salma ameongezeka unene kwelili kweli. Anapataga muda wa kuwawazia hao wanawake wenzake kweli?
   
Loading...