Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

Huyu mama ni mroho wa madaraka na dhahiri inaonyesha ameamua kumtelekeza mumewe kwa tamaa za madaraka.Miaka miatno ya ubunge wa ikulu ilimtosha kabisa kukaa pembeni kipindi hiki na kuruhusu wengine kushika nafasi za uongozi. Baada ya mumewe kustaafu na kurudi kijijini Msoga angetulia tu kwani atawezaje kutumikia jimbo wakati huo huo familia? Mwezi Mei mwanzoni aliingia matatani na kamati ya siasa ya wilaya Lindi vijijini baada mbinu zake za kuanza kampeni kabla kubainika pale ambapo aliwabeba wajumbe 15 wa CCM na kuwasafirisha Dar es salaam ili kwenda kumshawishi mumewe ambae anaonyesha kutokubaliananae mpango huo ulivuja na suala zima kufika katika mikono ya TAKUKURU Lindi kwa mahojiano. Suala hili halikuripotiwa na chombo chochote na juhudi kubwa zilifanyika kutaka kulizima lakini maagizo ya chama makao makuu ya kumtaka kuhojiwa yalitekelezwa. Baadhi ya wajumbe hao walipatwa na hata ya kuzuiliwa kufanya shughuli za kisiasa kwa vipindi vya mwaka mmoja, miezi 6 na wengine waliishia kupewa onyo kali lakini mama hakupewa adhabu yeyote. Lakini kama haitoshi jana tar 15 amechukua fomu mbili za kugombea,UWT viti maalum na fomu ya jimbo la Mchinga.(Yaleyale aliyoyasema Humphrey Polepole ya viongozi kuridhika) CCM na vyombo vya usalama visiingilie huu uchaguzi wauache uwe huru ili demokrasia ichukue mkondo wake na Salma avune anachostahili.
 
Aisee baada ya kusoma haya uliyoandika(khs suala ya yeye kutoa rushwa +kuchukua form 2 ya Uwt na ya kule mchinga) sasa nime-confirm huyo mama ana matatizo sana.

Kama ulivyosema acha demokrasia ifanye kazi yake aone atakavyonyooshwa vzr.
 
Aisee kutoka first lady hadi ubunge...
Laigwanani aliwahi kutaja vipaumbele vinavyotakiwa...
Shule
Shule
Shule
Hahah afu nimekumbuka mkewe Laigwanani alikataa ubunge wa viti maalum baada ya Chadema kumpa akasema tu asante,kumbe upande mwingine kuna mke wa rais mstaafu yeye anapambana kwa hali na mali awe Mbunge.
 
Amenogewa baada ya uteuzi wa rais ambao kimsingi ulilenga kumpatanisha jk na magu......
Yani wamegundua ubunge ni nafasi ya kujichotea mihela ya bure bila kufanya kazi yoyote yaani kazi yako ukiwa mbunge wa ccm ni:
1. kutukana wapinzani
2. Kumsifia rais
3. Kutunga sheria kandamizi kwa watz
4. Kupiga makofi

Nani anaweza kunieleza mama salma ameleta tija gani kwa yy kuwepo bungeni?

Hawezi kujiajiri ili pia aajiri wengine
 
Siasa au kuwa kiongozi hutakiwi kuifanya kama sehem ya kuinua kipato chako binafsi

Pia ni wazo zur ulilotoa la yeye kufungua fursa zaid lakin pia anaeza kufanya hvyo akiwa katka hicho kiti ili kuhakikisha kile alichokilenga kuwafikishia wananchi wake anakifanya kwa urahis zaid, pia huenda kutokana na viongoz weng wameshindwa kutatua kero za wananch hao ameona bora aingie yeye kunusuru hali iliopo ya wananch hao ambao wameshindwa kutekeleza wajibu wao

Pia ni fursa kwa wananchi na jimbo la mchinga kuja kuongozwa na mtu aliekuwa karbu sana na viongoz wa juu, inaeza kusaidia kero mbalimbali za mda mrefu kutatuliwa kwa urahis, lakin katka hili linaitaji uelewa wa wananchi kuitumia hyo fursa
 
Anacho tafita ni kuwatumikia wananchi

Afu mbona yeye sio wa kwanza
Maleka mke wa Bil clinto si aligombea urais na mmewe alikushawai kuwa rais wa nchi hyo
Tatzo letu waafrika tunafanya uongoz ndio sehem ya kupiga pesa na sio kueka mazngira mazur ya kimaendleo kwako na kwa wengne,
Hivi huyu mama anatafuta nini cha zaidi ambacho hakukipata akiwa first lady? Si astaafu tu jamani!
 
Huyu mama jina lake halirudi trust me kashafeli mpaka hapo atakatwa juu kwa juu.kwanza alikutwa na sakata la rushwa mara mbili.ni bora angegombea lindi mjini.nahisi ndoa yao itakuwa na tatizo sehem sitaki kuamini mzee wangu kikwete kampa go ahead.au bimkubwa kwa jeuri yake kaamua kupambana mwenyewe, kumdhirishia mumewe hata bila yeye anaweza.all in all hakubaliki huko anakogombea alikuwa na mda mwingi wa kuwasaidia wana lindi na hakufanya hivo.
Yani ushajiwekea unamjua huyo Mama kuliko mumewe?

Asipokatwa utasemaje?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom