Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo vya watoto hakuna uchambuzi yakinifu wakitaalamu ili kuwaelemisha wapigakura mafanikio makubwa ya CCM kwenye eneo hilo.
Huku akiungwa mkono na Waziri mdogo wizara ya elimu ambaye hivi majuzi alitolewa makamasi kwenye kura za maoni Zenji, Mama Salma alihimiza kampeni zifanyike kwa nguvu zote kuhakikisha CCM inaibuka kidedea.