Mama Regina Lowassa: Kwa hili UMENIGUSA SANA!

Yeye na mumewe walikutana chuoni wakati wanasoma usanii; lazima walikuwa wanafunzi wazuri pia maana hizi perfomances zao nimezivulia kofia.

Mama ajawahi kuchangia ata senti ya msaada na utajiri wao wote mara tu anajali matatizo ya akina mama.
Huyo mama siyo mwanamke mpenda sifa na siyo mtu wa media kama kiria au mengi kila anachofanya kionekane jua kuwa mwanaume awezi kusaidia watu bila kuwa na mke mwenye moyo wa huruma na msaada watu wanao hudumia watu wenye shida katika jamii wanajua thamani yake huyo hata viongozi wa dini wanajua kitu anachokifanya unadhani ni rais tu kutoa michango makanisani na kwenye harambee mbalimbali mpaka viongozi wa dini kuona ni mtoaji na kumpa kipaumbele yeye na familia yake kwenye mialiko mbali mbali ambayo ameaminika yeye ni mtoaji kuliko ata viongozi wa nchi wengine acha chuki na mwanamke mwenzako
 
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati zinazosaidia wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu. Anashindwa na wasichana wadogo wenye mapato yao ya kuuza maduka na malipo ya kuimba tu kwenye kuchangia directly wao wenyewe.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ata kusema awachangishea kupitia matajiri wenzake wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.

Nadhani bado haujanielewa soma hapa

http://www.8020fashionsblog.com/mama-regina-lowassa-ashiriki-chakula-cha-mchana-pamoja-na-watoto/
 
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati zinazosaidia wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu. Anashindwa na wasichana wadogo wenye mapato yao ya kuuza maduka na malipo ya kuimba tu kwenye kuchangia directly wao wenyewe.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ata kusema awachangishea kupitia matajiri wenzake wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.

Kila kitu kina mwanzo na sio mtu akitoa ndo atangaze ma dia...wengine wanaahidi kwenye media kama serikali ya kikwete ilivyoahidi million 100 kwa waathirika wa mabomu olassti Arusha.. mpaka leo olaah

Dada happy unajua kabisa biblia inasema ukitoa mkono wako wa kushoto usione..kama mume wake anatoa adharani ni kwa sababu yeye ni mwanasiasa regina sio mwanasiasa..mpe kaisari yaliyo ya kaisari na Mungu yaliyo ya Mungu..Nakushukuru kwa kura yako ya ndio kwa Mh Edward ..
 
Kila mtu during the festive season anakuwa na moyo huo sio pekee yake; onyesha akishiriki siku za kawaida. t

Isitoshe kusaidia maana yake ni kujulikana ethically kwenye hiyo misimamo hakuna mtu asiejua 'Reginald Mengi' ni mdau mkubwa wa elimu ya primariy na secondary, Joyce Kiria anaguswa sana unyanywasaji wa wanawake wenzake, Jakaya Kikwete anaguswa na misiba ya jamii na kila wanapopata nafasi awasiti kutoa michango yao kwa namna wazijuazo be it mmoja through finance support, mwingine kupitia unaharakati usiyoyumba na JK kufika mwenyewe.

Huyu mama hizo attributes hanazo kwenye kupigana na umaskini anachofanya kwenye hiyo picha ni thousands if not millions of Tanzanians do it every festive period hila awapigwi picha tu.

tuwekee na wewe walau picha moja tu tuone jinsi unavyosaidia jamii!!!
au kazi kupinga tu!!
 
21 December 2013
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu--katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana

...dah, kweli jf noma...mtu kamwaga povu weee km kanywa omo, afta dkk mbili analazimishwa ameze tena povu lake!
 
images

images

images

Hizi ndio namna pekee za ushiriki anazo zijua kuhusu kusaidia wanawake kwenye tafrija zenye raha raha, huko kwengine ni ulaghai tu au labda sikukuu.
 
In every successful man there is a woman behind.

Vijana koseeni kujenga, sio kuoa

Yes, behind every successful man, there is a strong woman.

Angali kikwete na mwinyi, ambapo pia naona picha hiyo hiyo kwa magufuli
 
They are happy to see her! Look how they are smiling!!! Huenda hawajawahi kutembelewa na mke wa kiongozi wao! That's enough for now!
 
images

images

images

Hizi ndio namna pekee za ushiriki anazo zijua kuhusu kusaidia wanawake kwenye tafrija zenye raha raha, huko kwengine ni ulaghai tu au labda sikukuu.

Mama Magufuli anasaidiaje jamii? teh teh teh nasikia amegoma kumfanyia kampeni mumewe
 
images

images

images

Hizi ndio namna pekee za ushiriki anazo zijua kuhusu kusaidia wanawake kwenye tafrija zenye raha raha, huko kwengine ni ulaghai tu au labda sikukuu.

Amewahi kuchangia kwaya na pia ni mlezi wetu si wa dhehebu moja, tumuunge mkono. Je hebu weka kumbukumbu sawa, ni kiongozi yupi wake zao waliyafanya hayo?
 
Back
Top Bottom