Mama Ongea na Mwanao kumjibu Steve Nyerere

Status
Not open for further replies.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,816
49,004
Kikundi cha wasanii kijulikanacho kama Mama Ongea na Mwanao leo kinafanya press conference kujibu madai ya Steve Nyerere kuwa hakiidai CCM, wamesema watakuwa na vielelezo vyote ikiwemo mikataba na risti mbalimbali za malipo ya awali.

Kama Steve alimwaga mboga wao wanamwaga ugali.

Yetu macho.

(Ichukuliwe kama tetesi kwanza hadi itakapokuwa confirmed).
 
Sasa mwenyekti wao si kashawakana jana?? Baada ya hiyo press kuna "Amri halali" itatolewa. Tukumbuke kuwa siku ya dhamana ni kesho so kuna kulala ukiwa wima!!
 
Ila yule steve mangere aluvyojitetea nulushangaa sana maana mwanzo aludai alikuwa anawaongopea wema familiy ili wasihame chama kwa kuwazushia mawaziri wa chama chake!yaani ni mwongo kila upande sijyi kwa nini hakuulizwa maswalu magumu na waliokwazika wakikubali utetezi waje basi wakapimwr akili pale alikuwa anaendeleza usanii tena wente script ya ovyo kabisa!
 
Halafu Mara Nyingine Umbea pia Haufai!!!!

Kuna maisha Mengine ya Kufanya Sio Kila Siku Story za wasanii Na Wasipo Fanya Hiyo Press Utatuambia nn??????
Mkuu wengine usanii ndio kazi yao ndiyo maisha yenyewe, kuna wengine pia wanaishi kwa kuandika umbea magazetini.
 
Kumbe waliwekeana mikataba na ccm ili walipwe..sasa mbona wakishughuliwa wanasema walitenda wema tu..
 
Kama wakijakutoa vithibitisho, huyu Steve Nyerere atapeleka wapi uso wake? note aliyoyasema yataonekana ni uongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom