Mama Nyerere, toa tamko uwenda ukasikika uwakumbushe CCM, baba wa taifa aliacha amani!

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
mama yetu mpendwa uliye ishi na mzee wa taifa hili hayati baba wa taifa tunakuomba utoe kauli yako juu ya maisha ya watanzania...uwaeleze viongozi kuwa mbona mzee nyerere akuongoza nchi katika hali ya namna hii?
Kwa nn yatokee saizi akiwa ayupo? Ebu mama toa tamko kwa sababu hata viongozi wastaafu wamesusa kabisa nawanaliona taifa linaangamia na amano inatoweka...na watanzania wamekosa umoja wanafanya mambo utafikiri sisi siyo ndugu...mama nyerer toa tamko wakumbushe ccm hizi siasa wanazo fanya babu angekuwepo asingetamani kuziona mama toa tamko uwenda wakakusikia na kuku heshimu...mama toa tamko imefika mahali nchi inayumba kabisa amani inatoweka.

Watanzania wana mlilia nyerere amani aliyo iacha imetoweka.
Miiko ya uongozi aipo tena.
Ccm inadharaulika kwa kutokufanya siasa za ustaarabu.
Mama toa tamko uwenda ccm wakakuonea aibu...mama.
 
Waanzilishi wa Tanu hatimae ccm now wazee wapo wengi sana hapa nchini na wengi walikuwa marafiki wa baba wa Taifa but hawasikilizwi hata kidogo,na mama ndiyo hapewi nafasi kabisa,unakumbuka hata kitambulisho cha Taifa baada ya kupiga kelele kuwa kwa nini hajapewa mama maria nyerere,badae wakamsafirisha hadi Zanzibar na kumpea huko? kifupi mama hana sauti tena mwenye sauti hapa anajulikana japo nae hasikii wala haambiliki,tuendelee kumuomba Mungu tu kwa kila linalotendeka lina kusudi na yeye analijua siku akiamua na sisi tujue basi tutafurahia zaidi
 
Waanzilishi wa Tanu hatimae ccm now wazee wapo wengi sana hapa nchini na wengi walikuwa marafiki wa baba wa Taifa but hawasikilizwi hata kidogo,na mama ndiyo hapewi nafasi kabisa,unakumbuka hata kitambulisho cha Taifa baada ya kupiga kelele kuwa kwa nini hajapewa mama maria nyerere,badae wakamsafirisha hadi Zanzibar na kumpea huko? kifupi mama hana sauti tena mwenye sauti hapa anajulikana japo nae hasikii wala haambiliki,tuendelee kumuomba Mungu tu kwa kila linalotendeka lina kusudi na yeye analijua siku akiamua na sisi tujue basi tutafurahia zaidi

Yan ndugu sijui kwa nn imefikia hapa mpaka ccm kupanga njama nzito kama hizi za kipuuzi..kwa kweli inatia huruma na inauma sana kuona chama kizee kinafanya mambo ambayo hata baba wa taifa angekuwepo sidhani kama angekuwa ccm mpaka saizi..
 
Tuandamane nchi nzima, chama kiitishe maandamano ya wati wote
 
Siungi mkono kwamba nyerere ana akili sisi tuna makamasi vichwani.

tuna nafasi ya kutumia akili zetu kufanya mambo mazuri kwa ajili yetu na vizazi vyetu. ya nyerere yamekwisha pita.
 
Kuna mawili hapa mkuu,yawezekana haya mambo yalikuwepo toka enzi za mzee wetu ila yalikuwa yakifanyika kwa siri sana sababu busara zilitumika na madhara yakawa madogo kuliko sasa hivi ambapo viongozi wetu hawana busara kabisa,na watu waliokabidhiwa chama hawajui hata wanatetea nini,ukiwauliza watakwambia tunatetea wananchi,sasa unateteaje wananchi na mda huo huo unawaua tena?

Ukizingatia mkuu aliapa akiwa kule dodoma kwenye uchaguzi wa viongozi wa nec yao kuwa daima hatakabidhi hii nchi kwa upinzani bali ataikabidhi kwa ccm,kwa hyo haya yanayotokea yana baraka zake na hakuna litakalo fanyika kuyazuia
 
Baba wa Taifa alimkataa Jk kwa kumuona na mapungufu mengi..
Madhara ya kuwa Rais tumeyaona sasa
 
Labda viungane vyama vyote kuitisha hayo maandamano na sio cdm peke yake,otherwise watafanya tena upuuzi wao as usaul...

kuna kauli ya zitto aliwahi kusema"cuf ilipoitwa chama cha kidini hakuna chama chochote kilichojitokeza na kukanusha jambo hilo,na leo tena chadema kinaitwa hivyo hivyo lakini hakuna chama chochote kinachojitokeza hadharani na kupinga hayo maneno" sasa tumeenda mbali zaidi nakuanza kuhubiri ugaidi na hili nawaambieni ndugu zangu hakuna atakae pona kwani madhara yake ni mkubwa kuliko tudhaniavyo,pigeni kelele popote mlipo kukemea huu ujinga wa kina mwigulu
 
Back
Top Bottom