Mama ni mara 3 bora zaidi kuliko baba

Ilhali baba huyo huyo ana hangaika usiku mchana. .Jua kali .Masika kuhakikisha Mama na mwana wana ishi katika maisha Mazuri na salama. ...Sometimes huwa baba anatafuta riziki katika mazingira hatarishi yanayo weza kuondoa hata uhai wake lakini he doesn't care anachojali yeye ni kuona anafanikisha dhamira ya familiar yake kupata mahitaji yote ya lazima na Yale ya ziada

Aise hebu mtuache kidogo ama mtupatie heshima yetu inavyo stahiki -maana huwa hamjui tabu ambazo huwa tuna pitia Katika utafutaji '
Na wangekuwa na namna nyingine ya kupata mimba nadhani ingekuwa mbaya zaidi
 
Ilhali baba huyo huyo ana hangaika usiku mchana. .Jua kali .Masika kuhakikisha Mama na mwana wana ishi katika maisha Mazuri na salama. ...Sometimes huwa baba anatafuta riziki katika mazingira hatarishi yanayo weza kuondoa hata uhai wake lakini he doesn't care anachojali yeye ni kuona anafanikisha dhamira ya familiar yake kupata mahitaji yote ya lazima na Yale ya ziada

Aise hebu mtuache kidogo ama mtupatie heshima yetu inavyo stahiki -maana huwa hamjui tabu ambazo huwa tuna pitia Katika utafutaji '
Kilichopo kichwani mwangu na kwako tofauti... Huwezi kunielewa uwe na siku njema
 
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
Ndio hizo daraja 3 alizopewa mama na Allah...MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA YA MSAADA WA BABA...

AKAZAA KWA UCHUNGU BILA YA MSAADA WA BABA...WANADHANI HATA OPERESHENI SIO KUZAA KWA UCHUNGU...MATESO ANAYOYAPATA MAMA KATIKA KUKILEA KIDONDA SIO YA KITOTO...

AKALEA NA KUNYONYESHA MTOTO BILA MSAADA WA BABA...

BABA KAMALIZIA MALEZI BAADA YA KUNYONYA...

SASA WATU WANALETA UACTIVIST KWENYE FACT
 
Nimeona nikae kimya sababu naona Kuna mmoja kaamua kunitusi kabisa nimeshangaa sana
Ndio hizo daraja 3 alizopewa mama na Allah...MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA YA MSAADA WA BABA...

AKAZAA KWA UCHUNGU BILA YA MSAADA WA BABA...WANADHANI HATA OPERESHENI SIO KUZAA KWA UCHUNGU...MATESO ANAYOYAPATA MAMA KATIKA KUKILEA KIDONDA SIO YA KITOTO...

AKALEA NA KUNYONYESHA MTOTO BILA MSAADA WA BABA...

BABA KAMALIZIA MALEZI BAADA YA KUNYONYA...

SASA WATU WANALETA UACTIVIST KWENYE FACT
 
Sijui umelishwa sumu gani,si muda mtaanza kuwakana baba zenu waliowatoa kwenye viuno vyao
 
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
Sasa hii si ndio kazi yake? Asipofanya hivi unataka afanye nani?
Kama baba anatimiza majukumu yake basi ni sawa tu na mama wote wana nafasi sawa pia hata mama asietimiza majukumu yake pia nae ni mpuuzi tu
 
Sheria inasema; Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako. Hiyo ndio sauti ya Mungu.

Hayo mengine ni maoni ya Muhamed ambayo ni kama maoni ya mtu yeyote kama wewe au mimi.
 
mtume alijibu ovyo sana maana kaulizwa kati ya wazazi wawili ,alivyojibu mwa kwanza mama ina maana aliyebaki ni huyo wa pili sasa akisema tena mama halafu tena mama ina maana kuna wazazi wanne mama watatu na baba mmoja .
 
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
hata ng"ombe anaweka mtoto tumboni na anatandikwa fimbo tu
 
Si kweli, labda kama majibu/hoja hizo zitatolewa na akina mama wenyewe ili kujitibu syndrome ya udhaifu wanaohisi kuwanao ingawa si kweli wadhaifu.

Mama bila support ya baba, mimba kwake ni msalaba.

Angalia ni akina baba wangapi wanahangaika kuhakikisha familia zao zinaishi maisha ya kukidhi mahitaji kulingana na hali halisi ya familia husika. Hapa haihusiani na akina baba ambao hawatimizi wajibu wao(kwani hata mama wa hivyo wapo pia).

Namna gani baba wanahangaika kuhakikisha familia ziko salama.
Vinginevyo, malezi ya utotoni kwenye familia nyingi yamejaa makosa yanayopelekea kuwabagua wazazi.

iAdios!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom