Mama ni mara 3 bora zaidi kuliko baba

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani mwingine?, akajibu tena 'Mama yako', Muulizaji akauliza tena nani mwingine?, Mtume akajibu tena ' MAMA YAKO', Yule bwana akauliza tena NANI MWINGINE, Kisha Mtume Akajibu 'Baba Yako'...?"

TUMEZIONA DARAJA TATU ZA MAMA ZAIDI YA BABA...YAANI GOLD, SILVER NA BRONZE...

DARAJA TATU ZA MAMA.
1. MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA MSAADA WA BABA.

2. MAMA ALIPATA HARAKATI ZA KUZAA PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

3. MAMA ALINYONYESHA MTOTO PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

DARAJA YA BABA.
*BABA ALICHANGIA TU KATIKA MALEZI NA MAMA.

Kwetu sisi wanaume: Kumtendea wema MKEO NI WAJIBU WAKO, NI DHAMBI UTAULIZWA USIPOFANYA HIVYO.

ILA USIPOMTENDEA WEMA MAMA YAKO, HUTOUONA WALA KUPATA HARUFU YA UFALME WA MBINGUNI...YAANI PEPO ZETU ZIPO CHINI YA MIGUU YA MAMA ZETU...UKIMRIDHISHA MAMA KATIKA WEMA NA UKAMTENDEA WEMA BASI WEWE UMEFAULU KUIPATA PEPO...!

TUWARUHUSU WAKE ZETU WAPATE FURSA YA KUPATA RADHI ZA MAMA ZAO...JAPO WANAWAJIBIKA ZAIDI KWETU KIMAMLAKA...ILA HAKI ZA MAMA ZAO HATUWEZI ZISHUSHA...!

TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU WAWILI...ILA TUSIMLINGANISHE MAMA NA VIUMBE VIUNGE...THAMANI YA MAMA NI KUBWA MNO...NI NGUMU SANA KUILINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE...!
 
Kwani dhambi zako Zinamhusu mwanao...
Huyu Vp
tapatalk_1551059587527.jpeg
 
Very very wrong kila mmoja ana majukumu yake
 
Harafu kwa muujibu wa kiislam mwanamke anatakiwa alipwe kwa kunyonyesha. Hivyo basi endapo atatokea mwanaume akalipa yale malipo basi atakuwa baba ndiye kanyonyesha. Hivyo nafasi moja ya mama itakuwa imechukuliwa na baba
 
acha umama wewe ostaz wazazi wote ni sawa tuuh sasa ulitaka wakina baba wabebe mimba au wanyonyeshe tuna maziwa sisii...usituzoeee

Back
Top Bottom