Mama Ngina jamani nimekumbuka enzi zetu!

wajamen siyo vizur hivyo nimezushiwa skendo, nimeamua kukeep low profile nisafishe jina lakin hamuachi kunichafua, Arushaone utanivunjia ndoa mwenzio ,plz ndoa yangu bado changa lol
Hallo Ciello, usiwe na hafu mama... nipo pembeni yako, aisee Arushaone pls muache shemeji yako, apumue aisee baba yangu
 
Usinione kimya, nilikuwa natafakari FITINA zako.............LOL

jamani hebu angalieni hii picha kama hawa wanangu wanafanana na huyu MKAANGA MBUYU...

family.jpg
 
Usinione kimya, nilikuwa natafakari FITINA zako.............LOL

jamani hebu angalieni hii picha kama hawa wanangu wanafanana na huyu MKAANGA MBUYU...

family.jpg

Dah, ama kweli ukubwa dawa! Nimekuvulia kofia mkuu wangu Mtambuzi! Make umepambana kaa Wale jamaa wa mieleka! Jamaaa unamuona anashambuliwa lkn kumbe ametulia ili adui yake achoke ili ammalize! Lakini huyo mtoto mkubwa kama ndo mwenyewe!

Halafu una kesi ya kujibu Pombekali alikuona dirishani kwa snowhite ukiwa na mwanamke ambaye si mama ngina, hapo imekaaje?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya muuza sijui ukwaju, sema kama nafanana na wewe!
dingi afadhali umewanyoosha. Leo tunakuja kumchukua new baby ili umtoe mama nyuzi eeh.
Usinione kimya, nilikuwa natafakari FITINA zako.............LOL

jamani hebu angalieni hii picha kama hawa wanangu wanafanana na huyu MKAANGA MBUYU...

family.jpg
 
Halafu ujue siku hizi nna magnifying glasa kama ile ya sir newton, i dont miss hata nukta. Yameshafika, salama yako nikipita jioni nikute my favourite. Saa hizi naupeleka huu uzi kwa mama ngina kumchomea dingi.
mzee Mtambuzi kila mla kuku wa mwenzie na wakwake hiliwa lol

Copy kwa:

Sweetlo gfsonwin
Shemeji cacico ODM, Asprin Kaunga, Kipipi, snowhite Erickb52, Bishanga, manoa na Ciello

Msiri wangu mwaJ, sweetlady Arushaone, lara 1
King'asti hii wala usiisome maana hizi habari utazifikisha kwa AshaDii tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom