Tafuteni shule za bei rahisi .zipo nyingi tuuThen!!
yaaani Dunia haiko fair kabisaaah.Hapa patamu halafu baada ya kumaliza Form six mtoto anapigwa mimba na bodaboda.
Mzazi/mlezi Unajisikia uchungu kama unakunywa juice ya alovela+mwarobaini.
Hii haiwezekaniWanaenda kuendelea na Pre V mpaka tarehe 27 July ndiyo waingie rasmi wale wengine wakiingia Form 6
Mzazi analipia 1.6 million mtoto asome twisheni ya pre-form fiveMm natoa ushauri tu kwako mzazi. Mwanao akifika chuo kikuu usikubali aombe ule mkopo wa serikali maana kama umeweza kumlipia ada hiyo mtoto basi na chuo mlipie tu. Sio kwa makato haya wanayokatwa kwenye mishahara hadi mtu unatamani kuacha kazi
Kingereza Cha wapi hiki bwasheeUr a comlicator Mzee.. The problem is not a problem. The way u react to the problem is a problem.
Unachafua Tu jina la shule anayo soma mwanao. Si kila Jambo lafaa kuanzishiwa Uzi.
Those are just ordinary tears and wears of an organisation.
Kila mtu angesema aelezee matatizo ya shuleni Kwa mtoto wake kungekuwa hakutoshi hapa.
Bwashee , Ras Simba kampasi ya wapi?The problem is not a problem . The way I react to a problem is a problem.
The approach to the solution of the problem must be constructive and not destructive.
Waliochemka ni wao kwa kuzuia comment za wanagroup, hata tusio jua udhaifu wao leo tumeujua kwa kupitia hapa.Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.
Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.
Umechemka mkuu
@moderators futeni Uzi huu.
Wewe utakuwa na chuki binfsi, sawa elimu ni bure, hapo mtaani ulipo tafta vijana 2, 3 waliomaliza kidato cha nne mwaka jana wambie wakuandikie 320,000 kwa tarakimu kama wataweza nitafte inbox nikupe zawadi.Tatizo kubwa msilolijua wewe unazaa mtoto wako unamchukua unampelekea mtu ambaye alikataa kuzaa mtoto na uwezo wa kuzaa alikuwa ano akakataa kuzaa unamwambia nisaidie kumlea mtoto wangu .atakachokufanyia ndicho mnachofanyiwa Sasa kukupiga mahela na Hana uchungu na wewe .wanaowalea hao watoto hawataki kuolewa, hawataki kuoa,hawataki kuzaa Ila kulea watoto wa wengine kwa michango mikubwa hawajambo.wazazi wa fungukeni chukueni tahadhari mapema yajayo yanafurahisha.kwa Sasa Tanzania elimu ni bure na imeboreshwa ,nyumbani kumenoga
Kuwa na hela ndo utoe hela bila kuhoji?? hii akili ya wapi?Sasa kama mnaibiwa si muwapeleke watoto wenu wakasone serikalini c mnajitia mnapesa kupeleka watoto private sasa ndo mtoe izo ela mana nyiny ni madon...
Kiasi sio wastarabu wamefungua group ma admin ni wao wenyewe wametupa ujumbe na hatuwezi ku comment. Wangekuwa wastarabu wangetupa room ya ku comment ndo tumeona tulete uzi jamvini
Pre form one na pre form five ni wizi mtupu. Nachukia shule zenye utaratibu huoLabda ndugu hujasoma uzi vizuri. Watoto sasa hivi wanarudi kumalizia Pre V then July 24 ndio waingie Form V. Kuna haja ya kulipa sasa hivi wakati ndio anaenda kumalizia Pre V?
Sasa usilalsmike humu kwenye jukwaa mfanye mahojiano yenu na awo watu wenu wa shule iyo acha kulalamika....Kuwa na hela ndo utoe hela bila kuhoji?? hii akili ya wapi?
Mzee wa kazi usiniangushe na hilo yai. Umenifanya nikumbuke kunauzi jamaa aliandika sex leadyUr a comlicator Mzee.. The problem is not a problem. The way u react to the problem is a problem.
Unachafua Tu jina la shule anayo soma mwanao. Si kila Jambo lafaa kuanzishiwa Uzi.
Those are just ordinary tears and wears of an organisation.
Kila mtu angesema aelezee matatizo ya shuleni Kwa mtoto wake kungekuwa hakutoshi hapa.
Wewe ni kilaza.. huwezi sense even a typing error. Aisee kama jf ndo ina vilaza kama wewe mi najitoaMzee wa kazi usiniangushe na hilo yai. Umenifanya nikumbuke kunauzi jamaa aliandika sex leady
Mkuu wa shule anaitwa "Massawe" unategemea nini linapokuja suala la pesa? yaani hao wenzetu kwenye pesa ni wakukimbia kama Corona na usishangae akakana katakata kuwa hamkulipa gharama za watoto kusoma pre V wao wana focus pesa pesa pesa tu
Bora pre 4m 1 pale mwanafunzi anajifunza lugha ya Malkia kwa ufasaha.Pre form one na pre form five ni wizi mtupu. Nachukia shule zenye utaratibu huo