OK basi asubiri form five ifunguliwe ndiyo aende and thereforehe foregoes this remaining part of pre five...
Sijajua jamii yetu siku hizi imepatwa na nini,yaani swala la shule wazazi 115 mmeshindwa kujadili kwa kuhoji maswali wamiliki wa shule na kulitafutia ufumbuzi?
Nina shule yangu ya awali (Nursery school)
Wazazi waliokuwa wamelipa ada robo yaani miezi mitatu wao watalipa ada ya mhula wa pili uliobaki,wale waliokuwa wamelipa ada nusu na kwa kuwa nusu mhula mzima hawajasoma basi watalipa ada robo yaani kuanzia September to December na watakuwa wamelipa ada robotatu ya mwaka na kwa waliokuwa wamelipa ada ya mwaka mzima wao hawatachangia chochote watoto watarudi shule na kusoma mpaka December bila michango ya aina yeyote.
Na hicho kikao tulikaa ijumaa na wazazi kwa njia ya WhatsApp na tukaafikiana vyema kabisa sasa maana biashara ni pamoja na kuishi vizuri na mteja. Ninyi mnakimbilia kuomba msaada mitandaoni wakati swala lipo ndani ya uwezo wenu na nyie ndiyo mabosi wao.
Naunga mkono hoja
Wewe utakua mkuu wa shule,sasa hao wazazi ndio walioleta corona na wao hawajaathiriwa na corona,yan kwa akili yako unadhani corona imewaathiri walimu tu,hujui kama ktk hao wazazi kuna waliopunguzwa makazini,kuna waliopewa likizo bila malipo tena wakiwa nyumbani wanapewa nusu mshahara,kuna wazazi walioua mitaji kutokana janga la corona n.k,yan mnajifikiria nyinyi tu!Kwa kweli awamu hii tunaishukuru sana hasa my wetu. Kitu cha kuzingatia hapo nyie lipeni hiyo ada hakuna namna kwani wao ndio wameleta huo ugonjwa mbona nyie mlikuwa mnalipwa mshahara pamoja na kuwepo corona? Mnafikiria wao wangeishije? Lipa vinginevyo hamisha mtoto
Wamefanya jambo jema kuwaunganisha wazazi wote mkajuana,hapo fungueni group lingine bila uwepo wao,jipangeni halafu mtakachoamua kwa pa1 muwapeleke kwenye group laoKiasi sio wastarabu wamefungua group ma admin ni wao wenyewe wametupa ujumbe na hatuwezi ku comment. Wangekuwa wastarabu wangetupa room ya ku comment ndo tumeona tulete uzi jamvini
The problem is not a problem . The way I react to a problem is a problem.tatzo sio wewe ulietoa 1.6M ambayo haikutimiza lengo lililokusudiwa.
mpaka ameandika hivi hadharani manake hio hela imemuuma mkuu.
Hizi PRE mi naona upigaji tu tangu mwanzo. Kama nini fanya kama alivosema mdau mmoja, chukua namba za mliomo kwnye group tengezeni yenu muwaingize hao wakuu wa hio shule muwahoji. ikiwezakana pangeni wazazi nyote muende ofisini mkalianzishe. Humu JF huyo Ndali ata kama anasoma humu sifikiri kama atalishughulikia umuRead between the lines
Wewe mtoa mada unataka ushauri gani?Issue yangu ni hivi
1. Tulilipa 1.6m kwa ajili ya Pre V ambayo inge cover five months badala yake waka kaa 5 weeks - IMEPOTEA
2. Watoto wanarudi 26June kwa ajili ya kumalizia Pre V then wajiunge na V 24 July
3. Watoto hawatapokelewa kama hulipa hela V ambayo ina anza July
4. Wamefungua group ambalo hatuwezi toa comments
I think I constructively criticized you and the man has constructively complained, and if we would feel the way he feels may be we can constructively give our opinions.The problem is not a problem . The way I react to a problem is a problem.
The approach to the solution of the problem must be constructive and not destructive.
Yaan mkuu ambacho unaona hakiko sawa ni kulipa 1.6m kisha watoto wasome muda mchache kuliko ilivokua planned before?Sijaogopa 1.6m cha ajabu watoto wanarudi ajili ya PV then waitaingia V 24th July nayo pia wanataka ilipwe kesho kutwa wakienda yani tarehe 26June iwe imelipwa. Kwanini ulipe hela ya mbeleeeeeeee???
Kama hayo yanajulikana kwanini mleta analalamika wakati hili ni janga na hakuna aliyelileta na kila mtu ameathirika hivyo kila kitu inaanza upyaWewe utakua mkuu wa shule,sasa hao wazazi ndio walioleta corona na wao hawajaathiriwa na corona,yan kwa akili yako unadhani corona imewaathiri walimu tu,hujui kama ktk hao wazazi kuna waliopunguzwa makazini,kuna waliopewa likizo bila malipo tena wakiwa nyumbani wanapewa nusu mshahara,kuna wazazi walioua mitaji kutokana janga la corona n.k,yan mnajifikiria nyinyi tu!