Mama Ndalichako, tunaomba mrejesho wa kamati ya uchunguzi wa maafisa wa bodi ya mikopo

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
2,624
3,652
Kwanza kabisa niseme wazi miongoni mwa watu ninawakubali ni huyu mama kwa utendaji wake.Hoja yangu ya leo nikutaka kupata mrejesho waile kamati ndogo ya uchunguzi uliyoiunda kuchunguza utumbo uliofanywa na maafisa wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ambao uliwatimua tarehe 16/02/2016.Ninaomba kujua niyapi yalibainika huko na wahusika walichukuliwa hatua gani?Maana wale wanadamu ni miongoni mwa wahujumu uchumi
 
Back
Top Bottom