Mama na simu

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Mama: Mwanangu hebu chukua simu umpigie babako umwambie chakula kiko tayari.
(Mtoto kachukua simu kisha kampigia babake)
Mama:
Mwanangu babako kasemaje?
Mtoto:
Aahh, mama simu ya baba ilipokelewa na mwanamke sio Baba.
Mama:
Subiri arudi atanitambua Leo.
(Kidogo kidogo hivi baba akarudi nyumbani, alipoingia tu akakutana na Sufuria ya Kichwa, Kabla akae kwenye kiti akapewa Kofi ya Mwiko. Kisha Mama kamuuliza Mtoto)
Mama:
Mwanangu ulivyo mpigia babako simu huyo Mwanamke aliyeipokea alisema Nini?
Mtoto:
Alisema
*_"Samahani Mteja Wa Nambari Uliyo Piga Hapatikani Kwa Sasa!!
 
Utoto
 
kivipi wakati ameonesha hulka za hao binadamu
Boss mmoja kwenye Kikao alisimamisha mjadala akatoa maagizo mtoto achemshiwe maziwa kwanza na apewe na kijiko sio chupa
akapigiwa tena simu na yaya Pampass zimeisha akaelekeza pesa ilipofichwa chini ya mto
Friji lina shot yaya anarushwa akaagiza fundi wa Tanesco akimbie
mwisho Kikao kikaahirishwa saa 7 hiyo ya mchana
 
Back
Top Bottom