Mama na mtoto wauwawa kwa risasi, inahuzunisha

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,654
0
Mwanamke ajulikanaye kwa jina la
Milembe Masanja na mtoto wake
aitwaye Kulwa Madirisha wakazi
wa kijiji cha Nyabusalu wilayani
Kahama, wameuwawa kwa kupigwa
risasi saa 2 usiku, wakati
wakiandaa chakula.
Kamanda wa Polisi mkoa wa
Shinyanga, Evarist Mangalla
amesea Milembea aliuwawa kwa
kupigwa risasi kwenye kwapa la
kushoto huku mwanaye Kulwa
akipigwa risasi kidevuni na
tumboni, hali iliyosababisha vifo
vyao papo hapo.
Hadi sasa chanzo cha tukio
kinachunguzwa na hakuna mtu
anayeshikiliwa, Kamanda Mangalla
pia amesema bunduki ni aina ya
gobore kutokana na majeraha
waliyokutwa nayo marehemu.

Chanzo: EATV
 

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,590
2,000
RIP mama & son,
bongo bunduki zipo nje nje sana serikali ifanye jambo
 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,325
2,000
Wasukuma sio binadamu kama sisi wengine. Bado wapo kwenye evolution. Wakifika hatua ya kuwa binadamu kamili kama sisi wataacha tu. Ni suala la muda tu.
 

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,811
2,000
Wasukuma sio binadamu kama sisi wengine. Bado wapo kwenye evolution. Wakifika hatua ya kuwa binadamu kamili kama sisi wataacha tu. Ni suala la muda tu.
KALAGABAHO kwa Kisukuma ni Uharo wa Bata, hivyo wewe na jina lako mnafanana sana sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom