Mama mwenye nyumba nayoishi Ananijia Ndotoni

Kwa hiyo avatar yako FL1, hivi sasa naelekea bafuni na kipande changu cha sabuni, yaani, we acha tu!
Ama kweli angali cjui unakwenda na laptop au cm ya mkononi?angalia icje ikaingia maji au utakua unaikumbuka avatar ya FL1 we nae umo but hauvumi X MAS njema
 
Pepo wa ngono huyoooooo kazi kwako kumpokea kwa mikono yote au kumtimua kwa silaha kuuu "jina na damu ya yesu"
 
Aisee ishia kumuota tu mkuu, usije ukajidanganya kumchojoa nguo kiukweli: MKE WA MTU NI BALAA, UTAKUJA KUKOJOA DAGAA.................meeeee!
 
ukimuota tena ukishtuka tu geuza shuka/blanketi
ulojifunika na endelea kuuchapa na ndoto yako itakuwa
kweli.
 
yaani umeniwahi kuhusu hiyo avatar ya FL1. naona spidi yako ni kali
kuliko kwani mi sikufikiria kuelekea huko kunako sehemu labda nitamuota tu lol

Kwa hiyo avatar yako FL1, hivi sasa naelekea bafuni na kipande changu cha sabuni, yaani, we acha tu!
 
Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa aibu je ni ndo 2 au inaukwel ndani yake?NISAIDIENI JAMANI.

Sasa baada ya kuamka na kumkuta uani ulimlipa hela yake au ulimfaidi bulebule tu mama wa watu?
 
Inaelekea unampenda mama mwenye nyumba wako. au ni ndoto tuu.
 
Kulaa leki mtu wangu hapo pagumu kwani ni kweli ulimbanjua lakini we unaona kama ndoto kwani alikujia kijini jini!!! Aisee meku nenda kwa kakobe akakuombee au hama huo mtaa kwani ameshakupenda na kamchezo kameanza.
 
Hapo kutamu kweli na kodi ya pango hulipi tena.ongeza bidii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom