Mama mwenye nyumba ana sifa ya umalaya, ulozi na wizi

Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi.

Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye anaishi kwenye compound hiyo hiyo maana mle ndani kuna nyumba 4. Kumbe moja wapo ndo ya mama mwenye nyumba.

1. Bahati mbaya baba mwenye nyumba hajawahi onekana miezi yote inasemekana amesafiri mbali. So mke amebaki tu anapuyanga na mume wa mtoto wake. Yaani anatembea na mkwewe ambaye mara nyingi ndo huwa dereva wake. mama amegoma kuzeeka. Analiwa na kijana mkwewe.

2. Mama anasifa ya uchawi.na ni mchawi kwelikweli na mipaka yake myeusi mingi inasumbua tu usiku. Unakuta paka linakuangalia nawe ukilizia macho linaangalia chini kwa aibu. Ni mchawi anawachezea wapangaji na majini yake. Kipindi cha mfungo aliyapumzisha majini yake.mfungo umeisha kayafungulia tena. Ni shida.

3. Mama mwenye nyumba anawatoza wapangaji unit moja ya umeme tsh 3000 kama hutaki unataka ile halali anakwambia hama. Ukigoma anaanza kukusumbua hulali ili ukimbie nyumba. Wapangaji hawakai kabisa hii nyumba iliyoko kipawa.

Huyu mama pia ukikaa kwenye moja ya nyumba zake utashangaa umeme unatumia wa tsh 5000 kwa siku 2 au moja na nusu. But ukicheck huoni umetumia nini hasa cha kuongeza units. Mpangaji mwingine analalamika aliweka umeme wa tsh 20,000 katumia siku 3 na nusu umeisha.

Anaishi peke yake anashinda kazini,hatumii jiko la umeme ....ameshachoka ndani ya miezi miwili haelewi umeme unaishaje. Inaonekana mama mwenye nyumba kuna wire alijipelekea kwake kwa hiyo anatumia umeme wa wapangaji na maji ndo hivyo analipiwa na wapangaji wake.

Huyu mama ukimwona tu unaweza hisi si wakawaida. Ana gubu,wivu na husda. Lakini utakumta amevaa baibui muda mwingi kumbe mchawi,mzinzi na mwivi mkubwa.

Jamaa yangu anasema yeye atamkomEsha. Alishamkatalia kumlipa tsh 3000+ kwa unit alimwambia atalipa bei ya chama na serikali. Pia akamwita fundi umeme akakague umeme. Ulionekana waya mmoja aumeunganishwa kwenda kusikojulikana. Alimwambia tu fundi aukate ule waya.

Anasema pia kuanzia hapo sasa anapiga maombi kila mara mpaka yule mama hataki kabisa waonane. Anamwambia ahame.jamaa anamjibu amlipe kodi yake ya miezi iliyobaki.

Anasema akilipwa ataongeza mwezi mmoja bure akitafuta nyumba ili amkere zaidi yule mama. Yeye anataka amfanyie kusudi.
Okoka, mwamini Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, hutasumbuliwa na wachawi tena. huu ni ukweli, chukua hatua.
 
Wapangaji ni wakorofi sana wanataka umeme na maji bure ili waweke music mkubwa na mashine za kufulia
Nashauri huyo mama muachieni nyumba yake afugie kuku muone km atakufa
Mimi kuna mshenzi aligoma kutoka eti anataka mwezi mmoja wa bure au mitatu kabisa, la sivyo atanichoma mbona umeme simdai na kamaliza miezi 12, kumbe wenzake wa maduka wanamlipia yeye ni kudunda mipasho masaa 24
 
Kuna mmoja alidai kama tunataka ahame tumpe miezi mitatu alihama kwa fujo
 
Kuna mmoja alidai kama tunataka ahame tumpe miezi mitatu alihama kwa fujo
na mara nyini wakihama wanajuta, wanatoa siri zote hata za uongo, mm niliitiwa Tanesco, kuwahoji wakadai kuna mpangaji alipanga hapa, kumbe alikoenda bill ni kabla hujatumia unatanguliza 15,000 ya maji na umeme kila mwezi na bado Kodi ni miezi mitatu, wapangaji wanataka fujo na waharibifu km sio ukuta vitasa hata mlango, usafi kuzunguka nyumba hawataki kabisa.
 
Pole bro kwema lakini umeadimika sana kwenye group watsap
 
Back
Top Bottom