Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

Field Marshall Es, maneno mazuri mkuu wangu mazito na kweli tupu. hadi hapo tutakapoweza kuweka sheria kuzuia ajira za Undugunization kama ya UN ama Taasisi nyinginezo, hakuna aliyevunja sheria na itaendelea kuwa tabia ya mwafrika.
Wenzetu nchi za nje hufanya haya (ajiri ndugu) ktk biashara binafsi kwani hapo pekee ndipo undugu hufanya kazi vizuri.
 
Huyu naye hajapata nafasi tu ya kufisadi, ufisadi na CCM wameoana!

Kitila,

Mpe heshima zake Shein, makamu wa rais ni nafasi kubwa ya kutosha, kama anataka kuwa fisadi tungeona tayari anajichukulia mashamba, nyumba na hata kampuni.

Hata mimi naona huyu ni katika Watanzania wasafi.
 
1.
Halafu masatu unashangaa kwa nini hupati kazi foreign!

Una maana Masatu, hawzi pata kazi Foreign kwa sababu mtoto wa Malecela, ambaye ni mwanasheria by professional, aliyesoma na kufanya kazi mbali mbali kwenye NGOS, na baadaye kuchukuliwa na foreign kutokana na umahiri wake kikazi, na kufanya kazi wizarani kwa muda zaidi ya miaka mitatu na kuwa elligible kwa post nje, kama wengine wote hapo wizarani, unasema hiyo ni ndugunization? au itamzuia Masatu asiingie foreign are you serious au ni ile culture ya kulia lia tu kama watoto wadogo bila ya kujua tatizo lako binafsi kwa hiyo dawa ni kusingizia fulani ndiye sababu ya misery yako! Hivi mkuu huko foreign unakujua au unakusikia tu? Huwezi ingia huko bila kichwa kizima mkuu na huwezi pewa post bila kichwa ama sivyo utarudishwa na balozi wa kituo!

2. [
B]a tena KAZI KWENU kikosi cha CSI cha JF[/B]

Mambo yote yapo hapa hadharani tena yako clear mkuu, hakuna kilichofichwa, kama kuna unachokijua weka hapa mkuu upewe majibu!

3.
Malecela ana watoto wangapi? maana kwa jinsi walivyotajwa hapo naona kuna wengine hawako

Sasa kama unawajua kwa nini usiseme na jinsi walivyo tatizo kwa kwa mendeleo ya taifa letu

4.
ama kweli foreign hapafai

kwa mantiki hii labda ni wewe mkuu ndiye hufai maana huna point so far, kama ni foreign nafikiri inaeleweka na jamii nzima kuwa ni moja ya kitengo mahiri kwa utendaji kazi serikalini, kwa hiyo labda wewe mkuu ndiye unatatizo, au wewe ni ndugu wa Mama Mongella?

5.
Mbona jujamtaja mtoto wa kigogo mwingine aliyepewa kazi tuuu kwa sabubu yuko hapo UN muda mrefu?

Tizama swali lako mkuu, mbona hujamtaja mtoto wa kigogo mwingine ambaye yuko hapo UN muda mrefu, sijui ni nani huyo lakini kama alikuwepo hapo UN muda mrefu kbal;a ya kuajiriwa, ina maana ana experience tunayoiihitaji, sasa ulitaka tumuache huyo tukamchukue bongo mtu ambaye hana experience kabisa?

Mkuu vipi, mbona nilikuwa ninakuona siku zote kuwa una kichwa au ndio stress za kritsmas? duh!
 
Mwenyewe Agoma Kuzungumza!
Anapogoma kuliongelea swala hili anakubali kwamba ameiba na kakosea, anakubali kumwajiri mkwe wake kimyemela. Inabidi ajiuzulu haraka sana ili asitutie aibu zaidi kwa sababu kuna mengi ambayo bado hayajasemwa. Hii ni tabia mbaya ambayo inaendekezwa hata na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa sababu mawaziri kama Karamagi ambao wanatuhumiwa na kashfa nzito za kusaini Buzwagi bado wanapeta, waziri mkuu ambaye Richimonduli gate imemkumbatia naye anapeta tu kwa hiyo tabia mbaya kama hii na yeye anayo ndio maana anaficha ficha uvundo na uozo ambao mnuko wake unasikika duniani kote hadi makao makuu ya IMF World Bank n.k.

Mongela do the honourable thing jiuzuru haraka sana.

Wengine wanasema ati Shein ni msafi; utakuwaje msafi wakati madudu yanafanyika na wewe uko kimya? Huu ni wakati wa kusesabiwa hatutaki alinacha hapa.
 
Field Marshall Es, maneno mazuri mkuu wangu mazito na kweli tupu. hadi hapo tutakapoweza kuweka sheria kuzuia ajira za Undugunization kama ya UN ama Taasisi nyinginezo, hakuna aliyevunja sheria na itaendelea kuwa tabia ya mwafrika.
Wenzetu nchi za nje hufanya haya (ajiri ndugu) ktk biashara binafsi kwani hapo pekee ndipo undugu hufanya kazi vizuri.

Naona hapo tutakuwa tunawaonea viongozi wetu. Kuna ubaya gani kwa mtoto mmoja wa Malecela kati ya watoto karibu kumi kupata kazi UN?

Labda kama kuna ushahidi zaidi lakini kwa hili naona kama ni witch hunt ambayo haitatusaidia.

Tu concentrate na huyu mama Mongela ambaye kwa kweli kwa hili
la kuiba pesa za AU, naona katupakaza kweli Watanzania.
 
Kitila,

Mpe heshima zake Shein, makamu wa rais ni nafasi kubwa ya kutosha, kama anataka kuwa fisadi tungeona tayari anajichukulia mashamba, nyumba na hata kampuni.

Hata mimi naona huyu ni katika Watanzania wasafi.

While I give Dk. Shein the benefit of doubt as stated in my earlier post whick asked Kitila not to speculate and taint somebody without evidence, I still think Dk. Shein is not the right leader, mainly for two reasons.

1.Ukikaa na wezi, hata kama hujaiba lakini umekubali kuacha wizi ukiendelea bila kusema basi na wewe ni mwizi by association.Hata kama Dk Shein ni safi personally usafi wake unachafuliwa na fact ya kwamba amekuwa complacent mbele ya wizi. Tukumbuke huu "uzuri" "upole" na "usafi" ndiyo ulitupa Kikwete ambaye matokeo yake tunayaona. Hapa in one sense Kitila anaweza kuwa validated kwamba kama Shein anaweza kukaa kimya mbele ya wezi hawa, inawezekana anapalilia image ya usafi ili ije kuwa strong point yake ya kupata urais halafu akipata ndiyo ataonyesha makucha kama Kikwete, but I do not want to speculate too much in advance (ndiyo maana nikasema kuhusu post ya Kitila kuwa kama anasema Shein is guilty by association he should say so)

2.Hatuchagui mtu, tunachagua chama.Watu kama Shein ambao wame-demonstrate complacency hawana nafasi katika uongozi wa Tanzania kwa sababu siamini kama watakuwa na uwezo au guts za kubadilisha mwenendo wa uozo uliotapakaa katika ngazi zote za juu za CCM. Kwa hiyo hata kama yeye safi ndiyo ataleta mambo ya Mwinyi ya kwamba "mimi walii, we fanya utakavyo".Tumeona hii kwa kiasi kikubwa kwa Kikwete, mtu anayecheka cheka mpaka anashindwa hata kumuondoa Katibu Mkuu wake mwentyewe au hata kulibadili baraza la mawaziri linalopigiwa kelele kila kukicha.

Shein hafai, kwanza mpaka leo sijui amefanya nini Tanzania zaidi ya kuwakilisha nchi kwenye talkshops na ziara zisizo idadi ambazo mtu yeyote makini anaweza kufanya.In other words Shein hajaji=distinguish vya kutosha kweza kuwa promising kama rais anayeweza ku turn around Tanzania.
 
1. Anapogoma kuliongelea swala hili anakubali kwamba ameiba na kakosea, anakubali kumwajiri mkwe wake kimyemela. Inabidi ajiuzulu haraka sana ili asitutie aibu zaidi kwa sababu kuna mengi ambayo bado hayajasemwa.

Very strong point mkuu, hiii aibu itaishia kutukosesha kazi in the future, huko international, I mean maneno yamesemwa tena rais wetu akiwepo, na hakuusema kitu katika kumtetea meaning kuwa kuna ukweli, sasa mama anangoja nini?
 
ES

unajua pamoja na mimi najua kuwa FOREIGN kumejaa undugu kuliko hata huko benki kuuu na kama tukifuangua thread kama sikosei utasema ihamishwe

lakini ninaheshimu majibu yako
 
While I give Dk. Shein the benefit of doubt as stated in my earlier post whick asked Kitila not to speculate and taint somebody without evidence, I still think Dk. Shein is not the right leader, mainly for two reasons.

1.Ukikaa na wezi, hata kama hujaiba lakini umekubali kuacha wizi ukiendelea bila kusema basi na wewe ni mwizi by association.Hata kama Dk Shein ni safi personally usafi wake unachafuliwa na fact ya kwamba amekuwa complacent mbele ya wizi. Tukumbuke huu "uzuri" "upole" na "usafi" ndiyo ulitupa Kikwete ambaye matokeo yake tunayaona. Hapa in one sense Kitila anaweza kuwa validated kwamba kama Shein anaweza kukaa kimya mbele ya wezi hawa, inawezekana anapalilia image ya usafi ili ije kuwa strong point yake ya kupata urais halafu akipata ndiyo ataonyesha makucha kama Kikwete, but I do not want to speculate too much in advance (ndiyo maana nikasema kuhusu post ya Kitila kuwa kama anasema Shein is guilty by association he should say so)

2.Hatuchagui mtu, tunachagua chama.Watu kama Shein ambao wame-demonstrate complacency hawana nafasi katika uongozi wa Tanzania kwa sababu siamini kama watakuwa na uwezo au guts za kubadilisha mwenendo wa uozo uliotapakaa katika ngazi zote za juu za CCM. Kwa hiyo hata kama yeye safi ndiyo ataleta mambo ya Mwinyi ya kwamba "mimi walii, we fanya utakavyo".Tumeona hii kwa kiasi kikubwa kwa Kikwete, mtu anayecheka cheka mpaka anashindwa hata kumuondoa Katibu Mkuu wake mwentyewe au hata kulibadili baraza la mawaziri linalopigiwa kelele kila kukicha.

Shein hafai, kwanza mpaka leo sijui amefanya nini Tanzania zaidi ya kuwakilisha nchi kwenye talkshops na ziara zisizo idadi ambazo mtu yeyote makini anaweza kufanya.In other words Shein hajaji=distinguish vya kutosha kweza kuwa promising kama rais anayeweza ku turn around Tanzania.

Hivi unajua kama rais sikuhizi anaitwa HAAMBILIKI?

pili ukishamtoa SHEIN na hao CCM unawaingiza nani Freeman na CHADEMA au MREMA na TLP

sasa niambie kati ya hao wapinzani ni yupi safi?

bwan asikuambie mtu, hao wapemba japo wanachukiwa lakini kitu ambacho hawana basi ni UBADHIRIFU na WIZI na mfano mzuri alikuwa DR OMAR ALI JUMA ambaye pamoja na yote aliyoifanyia nchi ile serikali iliamua kumtelekeza kama ilivyo mtelekeza Mzee Jumbe na mwishowe watoto wa Dr Omar walikuwa hawana la zaidi ya kwenda Kujiilipua huko UK

wee acha tuu
 
Ukiangalia jinsi ofisi fulani zinavoajiri watu, kama benki kuu na hizi balozi.You begin to wonder kama Tanzania kuna "Equal Opportunity" maana kila sehemu Mkapa this, Malecela that,Sokoine this,Makamba that, Mwinyi this sio kwamba hatutaki hawa watu wafanye kazi lakini kuna level ya concentration fulani inaboa unapokuta kwenye ofisi moja huyu Mongella huyu Malecela unajiuliza hivi hapa last name ni qualification au vipi?

Mi nawasifu sana watoto wa viongozi wanaopiga mitikasi yao au waliokuwa katika sekta binafsi (bila ya kutafutiwa kazi na wazee wao)

Mkuu Pundit,

Heshima mbele, now what is your take kuhusu watoto wa viongozi kwamba wasifanye kazi za kuajiriwa serikalini? au kwenye mashirika kwa sababu ya majina ya baba zao? Mkuu time zimebadilika, zile enzi watoto wa viongozi wanakuwa walevi tu wavuta bangi sio leo tena mkuu, ninaweza kukuelewa kama kuna mtoto wa kiongozi ambaye ameajiriwa mahali kwa vitisho vya baba, lakini hiyo sio tabia za foreign mkuu, na ingekuwa believe me foreign asingeajiriwa mtoto wa masikini wangekuwa wote ni watoto wa wakubwa tu, unless tuna ushahidi wa mtoto fulani wa kigogo kulazimisha kuajiriwa mahali tunakuwa tunatafuta sababu tu ya our natinal misery at the wrong place,

Sio watoto wote wa viongozi wanaoweza kutafuta kazi zao wenyewe, kama vile ambavyo sio watoto wote wa masikini wanaoweza kujiajiri wenyewe, it works both ways, lakini haina maana mtoto wa kiongozi mwenye qualifications asiombe kazi serikalini au popote pale, kwa sababu itaonekana kuwa ni baba yake I mean ni hoja finyu sana. Zamani tunajua walikuwa wakipeana bila qualificatons, lakini sio sasa mchezo uliiisha siku nyingi, waacheni watoto wa viongozi wafanye kazi zao za kutafuta maisha, maana sasa tutakuwa tunalia wivu tu!
 
Brazameni,
Wasoijua CCM hata siku moja hawatakubali ukweli. Watu clean siku zote hawana maisha nadhani hiyo iwe ndio ishara yetu kubwa ya kiongozi mzuri. Kifupi CCM wamejaa viongozi wa kudumu na maisha yao ni marefu sanaaa! Huyu Shein is clean - so far ktk CV ya kishwahili!

Field Marshall Es,
Mimi nadhani viongozi wasipewe ruksa ya kuajiri wao ndugu zao hasa sehemu wanazoongoza wao. Nje ya hapo uwanja wazi kwa kila mtu.
 
Huyu Mama ndie alieyepewa kazi ya KUMCHAFULIA Marehem Prof.MALIMA kuwa HAFAI..na atoke ndani ya CCM yao...
Prof. MALIMA yupo mbele ya HAKI na wezi HALISI wataanza kuonekena.
 
Mzee FMES,

Nakubaliana na wewe 100%.......................lakini bado najiuliza kwa mfano ile ya ajira BoT....ni coincidence au????.........................na mimi siamini ktk Coincidence....................halafu ghafla leo tunasikia Mongella na shutuma nzito...................na mtoto wake pamoja na kuwa ni namfahamu vizuri kuwa ni kichwa bado inanipa mashaka........ya kwamba mama yake Mongella ambaye leo tuhuma zimemkalia kooni alitia mguu pale BoT (Bongo and the Mafia Family style.....eeeh)
 
Brazameni,
Wasoijua CCM hata siku moja hawatakubali ukweli. Watu clean siku zote hawana maisha nadhani hiyo iwe ndio ishara yetu kubwa ya kiongozi mzuri.
Kifupi CCM wamejaa viongozi wa kudumu na maisha yao ni marefu sanaaa! Huyu Shein is clean - so far ktk CV ya kishwahili!

Field Marshall Es,
Mimi nadhani viongozi wasipewe ruksa ya kuajiri wao ndugu zao hasa sehemu wanazoongoza wao. Nje ya hapo uwanja wazi kwa kila mtu.

Mkandara, vipi kuhusu shutuma kwamba Shein is "guilty by association" kwamaba anayafumbia macho maovu yanayotokea mbele ya macho yake? Au katika CV ya kiswahili hii si tatizo? CV ya kiswahili na ya kiingereza tofauti nini?
 
Mkuu Ogah,

Kwa kweli siwezi kuwatetea watoto wa viongozxi walioko BOT, but, hivi karibuni nilikutana na watatu kati yao nikawauliza kuhusuu hiii ishu, wakaniambia kuwa 90% kati yao wamekuwa wakifanya kazi hapo toka enzi za Mwalimu, ambapo BOT palikuwa ni just another shirika la umma,

wakaniambia kuwa mabadiliko ya kimshahara BOT yalifanyika under Mkapa, na kuwafanya wawe wanalipwa sana kulinganisha na sehemu zingine, labda ndio maana sasa wananchi wanalalamika, lakini wanasema kuwa huko nyuma hata watoto wa masikini hawakutaka kuajiriwa hapo BOT, walikuwa wakiajiriwa na kuacha kazi kwenda kwenye hela zaidi, sasa all over sudden kumekuwa kilio kikubwa sana why?

Anyways, sina data za kutosha na hii ishu ya BOT, isipokuwa ninakumbuka kuwa kuna vijana wengi sana nilienda nao JKT, ambao ni watoto wa msikini waliajiriwa pale zamani na leo wote hawapo tena pale!
 
Field Marshall,

nakuheshimu, lakini usije ukawa unatumiwa ndugu yangu. hii ishu ya Mama Mongella inaonekana ni vita vya mwewe.

Ni mambo yaleyale ya Sumaye ana mashamba kumbe kila kiongozi mkubwa ana mashamba tena zaidi ya huyo Sumaye.

Mimi naamini hii habari/kashfa ina mkono wa Watanzania. Ni nani aliyepeleka taarifa kwamba Mama Mongela amepokea malipo toka Bunge la Tanzania? Ni nani aliyepeleka taarifa kwamba Mama Mongella kaajiri mkwe wake?

Ninavyoelewa mimi Mama Mongella siyo mtendaji wa kila siku wa Bunge la AU.

Sidhani kama taratibu za kazi zinamzuia mkwe wa Mama Mongela kuajiriwa na Bunge la AU. Kitu ambacho ni makosa ni Mama Mongela kuajiri ndugu yake ktk Ofisi ya Spika wa AU.
 
Pundit,
Tanzania ni nchi ya jabu sana kwani Shein sio makamu wa rais kama cheo hicho kinavyojieleza. Wewe umemwona lini Shein akitembelea mikoani kama afanyavyo waziri mkuu Lowassa! na kuna kiongozi gani bara anayemwogopa Shein kama sio heshima tu.

katika mazingira haya Shein ni rais wa Zanzibar ambako kuna serikali na Karume ndiye Lowassa wa visiwani. Sidhani kama JK akipatwa na janga kesho Shein atakuwa rais wetu, ugonvi mkubwa utakuja tokea. Being smart he keep distance
 
KM.....

hapo kaka sikubaliani na wewe,the guy almost 5yrs ameshakaa pale lakini still yupo fresh tu.

mie naamini wampe nafasi 2015 awe rais wa MUUNGANO au waonaje?[/
B]

Weeeeeeeee...acha kabisa..the poor country can't afford to have such a dull person as a president.
 
Jokakuu, nadhini habari inasema kuwa mama Mongella alitakiwa kulipwa na serikali yetu sio kule alikozivuta hizo dollar kinyemela. Kwa hiyo kulipwa na sisi sio makosa hata kidogo ila yeye kuvuta za bunge la UN, na ushahidi huo umepatikana huko huko.
 
Brazameni,
Duh, umenikumbusha Dr. Omar damn. hapo ndipo utakapo koma na mazingira ya kiafrika. Ule msemo Wema hawana maisha! hii hutokea only in AFRICA. Wenzetu kwao hao wema huishi miaka mingi zaidi (kina mama Theresa) na wakifa huacha kazi zao zikiendeleza wema wao sio sisi.
Kisha yaonyesha kuwa viongozi wengi toka Zanzibar ni clean zaidi kuliko bara tukiwa ondoa Karume na Seif Shariff Hamad.

Mhhh.. Clean & Dull as well..good for nothing.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom